Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

Mbona hivi ni vitu vidogo sana mkuu unataka kuvukuza sana.

Bible inakuba basic, forex ipo tangu enzi za Ibrahim. Yusuph Misri kacheza sana na concept za Bullish na Bearish.

Akili itafunguka zaidi ya hapo ulipojiwekea ukomo.
Useless Brain, una safari ndefu sana ya kukwamuka kiakili dini imekufanya zwazwaa zwazwaaa
 
Ni kweli hata vichaa kwenye ulimwengu wao wanaamini ukichaa ndio akili
Kichaa ni mtazamo. Hata siku Nicola Tesla anademonstrate power of electromagnetic fields, kwa kuendesha boat ndogo remotely wakazi wa New york walimuona kichaa. Tena walisema ameficha kanyani ndani ndio kanaendesha.

Kuona mtu kichaa au mzima inategemea na aliyeprogram akili yako.
 
Nyie someni hiyo Biblia nipo busy kwanza na vitabu vya kina JOEL NANAUKA,MAKIRITA AMANI,DENIS MPAGAZE NA CHAULA
 
Kichaa ni mtazamo. Hata siku Nicola Tesla anademonstrate power of electromagnetic fields, kwa kuendesha boat ndogo remotely wakazi wa New york walimuona kichaa. Tena walisema ameficha kanyani ndani ndio kanaendesha.

Kuona mtu kichaa au mzima inategemea na aliyeprogram akili yako.
Ni kweli hata hawa tunaowaona wako mirembe wanaona madaktari wao ndio walipaswa kuwa mirembe
 
Kwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha.

Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump n.k

Hii ndio hitimisho langu, karibu kila idea ya maana niliyojifunza imeelezewa kwenye Biblia moja kwa moja au kwa kuidecode.

Hivyo mtu ambaye atasoma biblia pekee kitaalam hana sababu ya kuhangaika kusoma vitabu vingine viingi. Ila pia kama unapenda kusomasoma, ukianzia kusoma biblia ukaenda kwenye vitabu vingine utaevielewa kwa haraka sana na utasoma kwa wepesi sana.

Ni hayo tu.
Naunga mkono hoja.
 
Mkuu pokea maua Yako uko sahihi kabisa.

Hivi vitabu vya dini vinamajibu ya maswali yetu mengi hasa kwenye mfumo wetu wa maisha.

Nje ya mada kidogo. Zamani nilikua nawaona waislamu ni mapoyoyo sana kwasababu maswali mengi niliyokuwa nawauliza walikua hawawez kunijibu vile inavyotakiwa, siku Moja nikajitoa ufahamu nikatafuta kitabu Cha Quran kilichotafsiriwa, nilianza kukisoma mdogo mdogo japo mwanzoni huwa kinachanganya, ikafika siku nikadondokea kwenye sura ya SURAT MAIDA(sijui kama nimepatia Hilo neno la mwanzo).. nilivyoisoma hii sura nikaona mbona Kila kitu kipo open ila Hawa waislamu walikua wanazunguka tu bila kunipa majibu ya kueleweka.

Biblia Ina mengi ya kujifunza kama ukiamua kuisoma Kwa utulivu
 
Asilimia 90 hadi 95 ya waislam wa Tz hawana quran na huwa hawasomi wanapenda kusimuliwa mawaidha misikitini.

Hawa ndio wepesi kutukana, kugombana, nawana uvumilivu kwa hoja kinzani. Msomi wa Quran ni mtu muungwana sana.

Kama waislam wangesoma biblia kinyenyekevu sio kuongozwa na vile vitini vya wanamidahalo wangekuwa na iq kubwa sana. Influencers wakubwa wa waislam walikuwa ni wasomi wa Biblia. Akianzia Waraqa ibn Naufal mtu aliyemsaidia mtume wao mambo ya kiroho.
 
Wakitoka kuskiliza mawaidha huwa wanakua wakali sana na hawawezi kujibu maswali tata Kwa kutumia Quran wao wanakimbilia kwenye hadithi za mtume walizosimuliwa huko kwenye mimbali
 
Mi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyewe
Mtazamo ulioingia nao katika kuisoma umekufikisha hapo.

Biblia ni moja ya kitabu kitamu sana.
Ukisoma kwa mtazamo wa kutafuta mambo ya kutekeleza maishani.

Mfalme nebukadneza alipokutana na akili ambazo ziko influenced na Bibliq aliagiza Biblia ndio iwe mtaala wa wachawi, waganga, wasomi na wataalam wote waliomzunguka.
 
Basi ndio maana kuna katiba zinatukuza Ushoga
Ushoga kama uatheism ni matokeo ya kumkataa Mungu wa Biblia kwa akili timamu.

Katiba au sheria yoyote inayopingana na maelekezo ya wazi wa Mungu ni sheria au katiba inayovunja katiba mama Neno la Mungu. Wanavuja sheria.
 
Mi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyewe
Tatizo lako unaisoma biblia Kwa kutafuta vifungu vinavyokataza kula kitimoto Ili upate evidence za kubishana nawatu
 
Biblia ni kitabu kinachokutaka ufikiri na kuunganisha dots.
Ni kitabu kinachowapa nafasi wanyenyekevu wa fikra
Ukinyenyekea kitakuzamisha kutoka kilindi kimoja cha maarifa kwenda kingine bila kiu ya kufahamu kukata.
 
Back
Top Bottom