min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hawa jamaa hadi aibu asee.Ni kweli hata vichaa kwenye ulimwengu wao wanaamini ukichaa ndio akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa hadi aibu asee.Ni kweli hata vichaa kwenye ulimwengu wao wanaamini ukichaa ndio akili
Ndio inafundishaSasa biblia inafundisha kanuni za kutunza pesa?
Tafsiri ya Mungu wa kweli kwako ni ipi au nini maana ya Mungu wa kweli?Mungu wa kweli ni yupi? wapo zaidi ya 18,000....
Unataka kusema kila anaeamini uwepo wa Mungu anamuamini Yahweh wa kwenye bibilia?
Ambaye kuna uthibitisho juu ya uwepo wake.Tafsiri ya Mungu wa kweli kwako ni ipi au nini maana ya Mungu wa kweli?
Leta mstari au aya inayofundisha!Ndio inafundisha
kuna kitu nhaipo sawa na mental model unayotumia kufikiriKwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha.
Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump, Shoga Yuval Noah Harari n.k
Hii ndio hitimisho langu, karibu kila idea ya maana niliyojifunza imeelezewa kwenye Biblia moja kwa moja au kwa kuidecode.
Hivyo mtu ambaye atasoma biblia pekee kitaalam hana sababu ya kuhangaika kusoma vitabu vingine viingi. Ila pia kama unapenda kusomasoma, ukianzia kusoma biblia ukaenda kwenye vitabu vingine utaevielewa kwa haraka sana na utasoma kwa wepesi sana.
Ni hayo tu.
Kanuni ya kutunza pesa na kupata faida iko kwenye BibliaSasa biblia inafundisha kanuni za kutunza pesa?
Ninacho hiki kitabu ni motosana ila kuna mtanzania pia anaandika vzur sanaSoma kitabu cha Rabbi Danie Rapin
business Secrets from the bible.
Utapata kianzio.
Iseme mkuu toa aya hiyo!Kanuni ya kutunza pesa na kupata faida iko kwenye Biblia
Kweli akili ni nywele na kila Mtu ana zake, kwahiyo Buddhism Religion inayokuhadaa kuwa "ukishafariki unageuka kuwa mende, funza, fisi au viumbe hai mbali mbali tofauti na kabla hujafariki na kurudi kuishi upya duniani" ndiyo umeiona ya maana na kuiaminia?Bible ni muhimu kuisoma kama Shakespeare na vitabu vingine ambavyo vimesomwa na watu wengi.
Sababu ni cultural intelligence. Hutakiwi kuwa katika mazungumzo halafu mtu anatoa Biblical reference halafu huijui.
Yani usiwe mjinga kiutamaduni kiasi kwamba mtu akikwambia "vita ya leo ni kama ya Daudi na Goliati , nashindana na nguvu kubwa sana, lakini mimi nitashinda kama Daudi", halafu wewe ukawa hujui story ya Daudi na Goliati ilikuwaje na huyu mtu ana maana gani hapa.
Hapo utakuwa na lack of cultural intelligence.
Lakini, kuna mambo mengi sana tumeendelea kielimu baada ya Bible kuandikwa, na kuna makosa mengi sana kwenye Bible tumeyaelewa, kuanzia ethics, logic, science, history etc. Nimeweka makosa na mikanganyiko ndani ya Biblia hapo juu.
Kwa hivyo, Biblia ina makosa kibao pia, si kitabu fulani ambacho ni kitakatifu hivyoo, kina makosa na hakina busara zote .
Ukisoma vitabu vya dini na falsafa za mashariki, kama Vedas, Dhammapada, Tripitaka etc, unaweza kukuta vina busara pengine kupita Bible, ingawa navyo vina mapungufu yake.
Nimesoma vitabu vya Buddhism especially nimeona vina busara sana ya kusisitiza amani na kutotaka vita, ukisoma historia ya Mfalme Asoka na jinsi alivyoacha vita, akafuata Buddhism, it is rather impressive.
Kwenye Biblia unakutana na Mungu anachochea vita, ana taifa lake analolipendelea, unaona kabisa huyu Mungu kaandikwa na watu wa hili taifa huyu.
Tatizo nani kasoma vitabu kama Dhammapada na Tripitaka set hapa?
Yani unakuta watu wengi wanazunguka kwenye Biblia na Quran tu, hata hawajafungua kwingine huko.
Kwa hivyo hata kwenye vitabu vya imani, upeo wao finyu.
The Buddhist books such as Dahammapada/ Tripitaka are far more philosophical and compassionate than the Bible.
Sasa mfano mmoja anakwambia huyu mbuzi ndio mungu wangu na akakuonyesha na mwengine akakwamnia ule mlima ndio mungu na akakuonyesha, je hapo watakuwa wote wamethibitisha miungu yao au watakuwa bado hawajathibitisha?Ambaye kuna uthibitisho juu ya uwepo wake.
Tukitumia mapokeo binafsi kila mtu atasema Mungu wake ni wa kweli. Waislam watasema Allah, wakristo Yahweh, wahindu watasema kina Brahma nk, nk...
kunionesha haitoshi kuthibisha, huyo mungu anapaswa ajidhihirishe, ajiweke wazi.Sasa mfano mmoja anakwambia huyu mbuzi ndio mungu wangu na akakuonyesha na mwengine akakwamnia ule mlima ndio mungu na akakuonyesha, je hapo watakuwa wote wamethibitisha miungu yao au watakuwa bado hawajathibitisha?
Wayahudi SI wakristo.Wayahudi wametumia Biblia
Ndiyo inafundisha, kuna mahali Mfalme Daudi aliagiza wana wa Israel waende Taifa flani kuchunguza nyenzo za uchumi wanavyojenga na wanavyomudu kujitegemea kiuchumi bila kuhusisha Mataifa mengine kimaendeleo ya uchumi kwa kutoomba misaada wala namna ya uendeshaji uchumi katika nchi hiyo.Brother biblia ina fundisha ujasusi wa uchumi?
Soma kitabu cha Methali choteLeta mstari au aya inayofundisha!
Uongo. Sema baadhi ya Wayahudi sio wakristo. Maana wakristo wa kwanza wote walikuwa wayahudi.Wayahudi SI wakristo.
Wewe unataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu au unataka Mungu ajidhihirishe? Maana hivyo ni vitu viwili tofauti.kunionesha haitoshi kuthibisha, huyo mungu anapaswa ajidhihirishe, ajiweke wazi.
Kwa muktadha huu hakuna mungu wa kweli, utamuabudu yule uliyemkuta kwa wazazi
hakuna mungu aliyejidhihirisha mpaka sasa
Kwa ninavyoelewa akijidhihirisha atakua amethibitisha uwepo wake, 'kudhihirisha' si kuweka wazi, kuondoa shaka...Wewe unataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu au unataka Mungu ajidhihirishe? Maana hivyo ni vitu viwili tofauti.