Mjomba wako wa nchi gani? Wewe ni Mkenya wa mchongo?
Ni kujisumbua tu ndugu. Unadhani watoto watayajali hayo?Huwezi jua siri ya familia. Siwezi kuliongelea upande wa mwanamke kwa sababi ni mtu mzima mwenye akili timamu.Nataka kuliongelea upande wa baba. Wababa wengi wanachojua ni kutoa matumizi lkn suala la malezi kuwaachia wakina mama..
Baba hajui mtoto anapenda nini,,,hajua mtoto anachangamoto gani. Maisha yote mtoto anamuona mama yake baba kuamka asubuhi kwenda kazini akirudi kula kulala. Hajengi bond na mtoto ndo haya madhara mtoto akikua wala hashtuki kuwa baba anahitaji upendo. Ukitaka kuamini angalia familia ambazo baba kawekeza upendo kwa watoto,,,mtoto mwenyewe atamtafuta baba hata kama mama atamlisha sumu kiasi gani.
Wazazi licha ya changamoto na kutofautiana tuhakikishe upendo na kujitoa kwa watoto kunabaki pale pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli basi watoto na mke watayalipa hapa hapa duniani.Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Changanya mbegu za watoto,kuzaa na mwanamke mmoja eti kisa wazungu wameandika hivyo kwenye riwaya ziitwazo biblia matokeo yake ndiyo hayo.Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Hela ya kustaafu IPO WAPINyumba alimilikisha watoto ambao ndo hao wamemtelekeza kwa hiyo kwa sasa hana uwezo wa kufuatilia tena amekua na tatizo la ugonjwa wa akili na hili limetokea miezi michache baada ya kustaafu ndo mke nae akaanza hapo hapo ukatili dhidi ya mume wake kwa kushirikiana na hao watoto wake. Na pia mzee alikuwa na watoto wengi
ukikutana na hao watoto waambie mae ya ya huyo mama yao.Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Hawatamruhusu. Wataweka kipingamizi kuwa hana utimamu wa akili kutokana na umri wake na maradhi alionayo ambayo mleta mada ametuelezaKwani anashundwa Nini kuanza kutafuna hayo majumba aliyojenga?
Kwa mtazami wangu huyo Mzee kastaaafu Hana kitu na pension kahonga. Full stop
π€£π€£π€£π€£Hicho kiswahili sasaπ€Msiwege mnaoa
Kumbe mnawafuga.....hizi dharau ndizo zawaponzamwanamke sio ndugu,tunakufa mapema kwasababu maadui zetu tunawanunua kwa pesa zetu wenyewe,tunawafuga mpaka uzee wao wote,baada ya watoto kukua wanatugeuka wanaungana na watoto wao kututoa kwenye ramani.ndoivo
huo ndo ukweli mnafugwa mpaka uzee wenu wote,hamuwezi bila mwanaume, mnategemea kuhongwa na kurithishwa mali na waume zenuKumbe mnawafuga.....hizi dharau ndizo zawaponza
NAUNGA MKONO HOJAsijui kama nitakuja kuoa aisee....
sioni faida ya ndoa kwasababu kuna umri ukifika watoto wataanza kukudharau na mkeo atakuombea ufe au hatakujaribu kukuua kabisa.
kuoa ni kitendo cha kujitaftia matatio uzeeni.
π π πNikikumbuka mke wa Ayubu alivyomwambia Ayubu amtukane Mungu afe, hata mama yangu nakuwa simuamini