Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Nilikuwa nawaza pia kwa sauti; naamini kuna kitu hakipo sawa. Sio rahisi watoto uliowalea kwa upendo mkubwa maisha yao yote; ghafla leo wakugeuke kwa kuambiwa tu maneno na mama yao. Ninaamini kuna kitu hakipo sawa
 
Ndoa haina tatiz
Ndoa haina tatizo, tatizo ni la mke!!
Ila wanaume tuna kazi! Watoto kwa asilimia kubwa huwa wanaelekea kwa mama!! Ni afadhali aamue kuuza baadhi ya malii zake kama nyumba ili zimhudumie, abaki na nyumba moja atakayoishi yeye!!
 
Hapo Mimi kama Mimi siwezi hukumu mama na watoto pasipo kujua behind the scene, Mwaka Jana niliyumba kiuchumi chanzo ni mzee wangu, yote yamepita na nimeshasamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nawaza pia kwa sauti; naamini kuna kitu hakipo sawa. Sio rahisi watoto uliowalea kwa upendo mkubwa maisha yao yote; ghafla leo wakugeuke kwa kuambiwa tu maneno na mama yao. Ninaamini kuna kitu hakipo sawa
Tatizo ni mama yao!! Je unajua mama yao huwa anawaambia nini watoto? Mwombe Mungu yasikukute!! Wanawake wengine ni balaa!!
 
Aisee hii experience sawasawa na ya mzee mmoja. Alirithisha watoto kila kitu
Mbaya zaidi alikua kwenye international orgs kwa maana hapati pension. Mke na watoto wamemcharaza bakora kisawasawa za pesa ya kiinua mgongo.
 
Hapo nilipobold hapo, hebu tujadili namna ya kuset hizo plans maana hakuna kitu kibaya uzeeni kama upweke
 
Ndoa ni utapeli.
Mtu unamhudumia. Upo naye nyumba mmoja na unalala naye lk hawezi kukusaidia halafu unajisifu umeoa
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ 900,000/=
 
Tatizo ni mama yao!! Je unajua mama yao huwa anawaambia nini watoto? Mwombe Mungu yasikukute!! Wanawake wengine ni balaa!!
Unajua hakuna kitu kigumu kama kumjaza mtoto sumu juu ya mzazi especially mtoto anapokuwa na ufahamu wake. Imagine mimi na huu uzee wangu mtu aje anipandikize sumu juu ya mzazi wangu mmh. Labda hao watoto hawana tu akili, wameamua kumtelekeza baba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…