dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
jiandae na mikosi aisee, utagongewa na mzazi mwenza mpaka ukome
piga chini fasta
kama ni fedha utatafuta zingine
piga chini fasta
kama ni fedha utatafuta zingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Never say neverWakuu

Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
kwan aliezaa anakuwaje?Inamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?
Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?
Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.
Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Unawaponda wanawake wenzio?Nilimsikia jamaa mmoja akiongea kijiweni
"ukimuoa mwanamke niliezaa nae nakua nakuja kuwaona watoto wangu asubuhi mchana jioni yani nakuja hadi ukome" 😁😁
Rudia kusomaUnawaponda wanawake wenzio?
Hatari nakwambia hii duniaHiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Sio wote ni wataalam wa kujua hayo mkuu na pia wanawake Wana maumbile tofauti mwingine huwez mjua kirahisi mkuu hata akivua nguoInamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?
Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?
Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.
Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Kwamba nyie wanaume ni malaika acheni kujipaisha bhana nyie wenyewe ndo wa hovyo kabisaaDah tukisema wanawake mashetani wanatupiga mawe humu ndani kumbe ukweli wenyewe ndio kama hivi.
Aisee pole sana mkuu hapo ni kuhesabu hasara tuu hamna namna.
Kwa kweli suala la kumtambulisha single maza kwa wazazi wako wakati wanawake wamejaa kibao ni kuwakosea adabu wazazi wako. Hiyo piga chini fasta mwanawane
Dah tukisema wanawake mashetani wanatupiga mawe humu ndani kumbe ukweli wenyewe ndio kama hivi.
Aisee pole sana mkuu hapo ni kuhesabu hasara tuu hamna namna.
Kwa kweli suala la kumtambulisha single maza kwa wazazi wako wakati wanawake wamejaa kibao ni kuwakosea adabu wazazi wako. Hiyo piga chini fasta mwanawane
Siwaelewi kabisa wanaume unampelekaje mwanamke single maza kwa wazazi na kutambulisha kuwa unataka kuoa...like seriously!!!Kabisa hata mzazi lazima amaid sana
Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Hatujasema malaika. Tambua ya kwamba hamna mzazi angependa mtoto wake abebe mimba nje ya ndoa wala kuoa single maza. Huo ndio ukweli.Kwamba nyie wanaume ni malaika acheni kujipaisha bhana nyie wenyewe ndo wa hovyo kabisaa
Asee wanaume wote wangekua na positive mind namna hii single mothers wangeishaFuraha ya mama ni ajumuike na mwanae pia huo ndio ukweli unless labda ni mkubwa na anaishi na Baba yake...lkn kama anaishi na mama yake hlf asiishi na mwanae kisa Mume hataki tarajia stress Kwa huyo mama mtoto...ukiwa a family Man mtoto sio tatizo kabisa