Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,

1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?

Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida

Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Single mother anaolewaga mke wa pili. Ustulazimishe ndo tushaamua
 
Hatujasema malaika. Tambua ya kwamba hamna mzazi angependa mtoto wake abebe mimba nje ya ndoa wala kuoa single maza. Huo ndio ukweli.
Ata wewe siku ukija kuwa mzazi upate mtoto wa kiume alete single maza kwako utafura kweli kweli
Nina kijana wa kiume akifika umri wa kuoa ni uamuzi wake tu akipenda na kujiridhisha Sina maneno nae
 
Inamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?

Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?

Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.

Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Mkuu sijajua uzoefu wako ila wanawake wa siku hizi anaweza kuwa hajazaa ila uke wake ukawa km wa bibi. By the way naheshim experience ya mtu
 
Mtu anabidi aolewe na aliyemzalisha
Maisha Magumu don't complicated Mambo mkuu

Hawa watoto waliomaliza form four na la saba both they are looking ndoa so unaacha kuoa Mtu aliyejitunza wa miaka 17+ unaenda kuokoteza single mother hiyo ni cures maybe awe na sifa ya ziada tu.
 
kuna manzi tuliachana miaka 2 nyuma akaja akaolewa na jamaa mmoja ivi Tabora .na huyo manzi aliolewa akiwa na mtoto wangu

muda wote huo sijawahi kuwasiliana nae (niliweka heshima)

sasa juz kati nimekutana nae mwanza ndan ya daladala kashtuka na mm nikashtuka story za hapa na pale nikagusia kuhusu mwanangu akajibu yuko poa

Nikamuomba tukifika kisesa nimpe hela amnunulie dogo nguo akaitikia hayaa (ya puani lakini kuashiria hata nisipofanya vile poa tuu)

Kufupisha story tulikumbushia matukio ya nyuma tukajikuta tupo lodge na ni mke wa mtu.

nachokumbuka alisisitiza amekubali nimchakate kwa sbb alimic moments za nyuma.

NB: nilimwagia ndani tena.
 
Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Hujatujua vizuri sisi,yaani mwanamke ambaye siyo wife material, mtegeshee aolewe,akishaolewa,unamdanganya kua yaani ungekuwa haujaolewa,ningekuoa mimi,hii itamfanya aamini kua huyu mwanaume,angenioa,tatizo nshaolewa,mwanaume anaendelea kumuweka kama mchepuko tu.Mwingine atakwambia,ningekuoa,tatizo una mtoto,babaake anaweza kukurudia,halafu akikwambia hivyo,anaendelea kukufanya mchepuko.Mbinu hizo zinawapumbaza wadada,wawe michepuko ya kudumu,miaka na miaka.Amka mwanamke,amka.
 
Naunga mkono hoja yako....tumekuwa tukiaminishwa kuwa single mother sijui hawaachani na wenza wao hiyo sio kweli asilimia Mia...ndio kuna baadhi wanatabia hizo lkn sio wote kwamba wapo hivyo..tusikaririshwe kila kitu jamani

Mimi nilioa single mother na nimekaa nae miaka Saba na sikuwahi ona huo ujinga...mpaka nimemuacha mwenyewe kwasababu zangu binafsi...na ninatarajia kuoa single mother tena hivi karibuni inshallah....kosa kubwa ni huyo mwenzako hakuwa mkweli tangu mwanzo hapo naona ndio tatizo.

Ila kwakuwa ulishauriwa na Babu yako kuwa single mother ni majanga na wewe mwenyewe umeshakuwa na mashaka basi ni Bora usiendelee na ndoa...kwasababu hata Baba mtoto akitaka kujua Hali ya mwanae utajua tayar wana mahusiano.....inahitaji akili kubwa kuishi na single mother kama Hilo huliwezi kaa pembeni mkuu.
Hizo sababu zako binafsi zilizofanya umuache ndo zinatufanya tusiowe Single mother. By the way juz tumekubariana kwenye kikao kuwa single mother wataolewa uke wenza full stop
 
Furaha ya mama ni ajumuike na mwanae pia huo ndio ukweli unless labda ni mkubwa na anaishi na Baba yake...lkn kama anaishi na mama yake hlf asiishi na mwanae kisa Mume hataki tarajia stress Kwa huyo mama mtoto...ukiwa a family Man mtoto sio tatizo kabisa

Ni kweli wamama hupenda kukaa na watoto wao. Ishu ni huyu alikuwa haishi naye na alificha taarifa zake. So naona jamaa aendelee na plan zake za ndoa na bidada amuache mwanane huko huko ili mwamba apate hata time ya kujiadjust emotionally. Huko mbeleni mtoto ataanza kuja kidogo kidogo. Mwamba atamzoea.
 
Mwanamke mbele ya mwanaume aliyezaa nae ni kama chatu na mbwa .hana ujanja atajipeleka ipo siku kwa mzazi mwezie ataliwa Tena!
Haya mambo ni kumuomba mungu akupe mtu sahihi Hilo ndo kubwa....unaweza usioe single mother na akaja kupatikana ndani ya ndoa...akazaa na mtu mwingine....nadhani umeshasoma Uzi WA jamaa ambao wamezaa na mke wa mtu mpaka watoto watatu....think big!
 
Mkuu wanawake ni dhaifu sana kwa wanaume waliozaa nao anaweza jipeleka...siku mbili tatu umemuhudumia vizuri kaanza kutia shavu jamaa yake kamuona anamtaka Tena Kuna balaa hapo...Kuna msichana kaolewa na jamaa sema Ana mimba ya mshkaji mpya mbaya hajielewi mfano fether's day ya mwaka huu kampost status jamaa wake wa zamani maan Wana mtoto mmoja ...ugomvi ukaamka na jamaa yake mpya ni balaa tupu
 
kuna manzi tuliachana miaka 2 nyuma akaja akaolewa na jamaa mmoja ivi Tabora .na huyo manzi aliolewa akiwa na mtoto wangu

muda wote huo sijawahi kuwasiliana nae (niliweka heshima)

sasa juz kati nimekutana nae mwanza ndan ya daladala kashtuka na mm nikashtuka story za hapa na pale nikagusia kuhusu mwanangu akajibu yuko poa

Nikamuomba tukifika kisesa nimpe hela amnunulie dogo nguo akaitikia hayaa (ya puani lakini kuashiria hata nisipofanya vile poa tuu)

Kufupisha story tulikumbushia matukio ya nyuma tukajikuta tupo lodge na ni mke wa mtu.

nachokumbuka alisisitiza amekubali nimchakate kwa sbb alimic moments za nyuma.

NB: nilimwagia ndani tena.

Hii ya kupiga ni kawaida. Hata asingekuwa na mwanao ungeweza kupiga tu as long as mlishawahi kudate huko nyuma.
Mkuu hujawai kutafutwa na demu uliyedate naye, hukumzalisha ila kaolewa na anataka mkumbushie moments?
 
Wakuu

Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa

Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha

Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie

Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni

Naombeni ushauri.
@Liverpool VPN uje umchukue ndugu yako huku.
 
Mkuu wanawake ni dhaifu sana kwa wanaume waliozaa nao anaweza jipeleka...siku mbili tatu umemuhudumia vizuri kaanza kutia shavu jamaa yake kamuona anamtaka Tena Kuna balaa hapo...Kuna msichana kaolewa na jamaa sema Ana mimba ya mshkaji mpya mbaya hajielewi mfano fether's day ya mwaka huu kampost status jamaa wake wa zamani maan Wana mtoto mmoja ...ugomvi ukaamka na jamaa yake mpya ni balaa tupu
Wala sipingi hoja yako....kama unavyosema kuna wanaojielewa na wasio jielewa.....kubwa ni wewe unayetaka kuoa single mother kujua historia ya huyo banati (mwanamke) na mzazi mwenzake...na mtazamo WA huyo banati unayetaka kumuoa....ukiwa Makini utajua huyu anafaa au laa.

Ninachopinga Mimi ni kumfanya single mother asionekane ana thamani kabisa,hapo tunakosea wengine walizalishwa kwasababu mbali mbali ambazo Mimi na wewe hatujui.
 
Wala sipingi hoja yako....kama unavyosema kuna wanaojielewa na wasio jielewa.....kubwa ni wewe unayetaka kuoa single mother kujua historia ya huyo banati (mwanamke) na mzazi mwenzake...na mtazamo WA huyo banati unayetaka kumuoa....ukiwa Makini utajua huyu anafaa au laa.

Ninachopinga Mimi ni kumfanya single mother asionekane ana thamani kabisa,hapo tunakosea wengine walizalishwa kwasababu mbali mbali ambazo Mimi na hatujui.
Kweli
 
Back
Top Bottom