Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha


Usioe! ILA najua hautasikia, wanaume tumeumbwa mateso, mateso, kuhangaika!
 
Never say never
 

Hujuelewi
 
kwan aliezaa anakuwaje?
 
Sikiliza aman ya moyo wako ndio ufanye maamuz. Ndoa sio kukurupuka. Moyo ukisema muache usihitaji ushaur wala hurum yake
 
Kosa lake ni kwamba hakukuweka wazi mapema alipaswa angekwambia very early at the beginning.

Kuhusu single mothers kutoachana na wazazi wenzao sio kweli bhana hiyo ni tabia ya mtu tu anaweza asiwe single mother na akawa na msurulu wa ma x ambao wanamtafuna tu kwa only single call.

Uamuzi ni wako kumuoa au kumuacha,,ila unaweza Kuta single mother ametulia kuliko hata huyo mtu sealed unaemtaka. All the best mkuu
 
Sio wote ni wataalam wa kujua hayo mkuu na pia wanawake Wana maumbile tofauti mwingine huwez mjua kirahisi mkuu hata akivua nguo
 
Kwamba nyie wanaume ni malaika acheni kujipaisha bhana nyie wenyewe ndo wa hovyo kabisaa
 

Kabisa hata mzazi lazima amaid sana
 
Umenena!!
 
Kwamba nyie wanaume ni malaika acheni kujipaisha bhana nyie wenyewe ndo wa hovyo kabisaa
Hatujasema malaika. Tambua ya kwamba hamna mzazi angependa mtoto wake abebe mimba nje ya ndoa wala kuoa single maza. Huo ndio ukweli.
Ata wewe siku ukija kuwa mzazi upate mtoto wa kiume alete single maza kwako utafura kweli kweli
 
Asee wanaume wote wangekua na positive mind namna hii single mothers wangeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…