jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Huja katazwa kuzaa nao hila husiwaoe single mother.Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huja katazwa kuzaa nao hila husiwaoe single mother.Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
Huja katazwa kuzaa nao hila husiwaoe single mother.Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora wewe alikwambia ni Single mother, kuna mwanamke aliniambia yeye ni Double mother, nilikimbia nusu kuvunja mguu!
Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Oa tuu, mimi single mother wangu kuolewa napeleka matumizi tuu wala hatuna mahusiano kimapenzi mwaka wa 16 sasa.Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
WIDOW (MJANE)Single mother anetakiwa kuolewa ni yule mwenza wake aliefariki tu 😁😀
Tatizo huwa wanajifanya kuwa wao ni maboga, yaani na ua lazima ulipende, usipolipenda ua, moyo wake unaingia nyongo na mapenzi kuporomoka!Alikosea kuficha toka mwanzo ila cheki na moyo wako. Binafsi nimeona single mothers wengi tu wameolewa na maisha yanaenda freshi. Hizo habari za hawezi muacha mzazi mwenza ni dhana tu ambayo watu wengi wanayo dhidi ya single mommas.
Kama unampenda we oa. Mtoto abaki huko huko alikokuwa siku zote.
Fact madhara ya kukariri ni mabaya sana kiakili.Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Duuu ukweli huu.Single Mother ni balaa Mkuu,
Utajuta mno,
Kama mtoto wake yuko ana miaka mitano,
It means mkioana tuana mleta uananza Kusomesha, na huyo mtot anajitambua
So atajua fika kuwa wewe si baba yake......
Mpka akuzalie, tayari wake yuko darasa la tatu, then ww wako anaza chekechea wake yuko Chuo....
ACHANA NA HIZO BIASHAHARA,
HASARA ROHOO, PESA MAKARATASI,
Fedhea kwao na kwa Washkaji isikufanye UKAFUNGA PINGU ZA KUJUTIA MAISHANI....
Usiwe mnafiki madam.Nina kijana wa kiume akifika umri wa kuoa ni uamuzi wake tu akipenda na kujiridhisha Sina maneno nae