Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
Huja katazwa kuzaa nao hila husiwaoe single mother.
 
Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
Huja katazwa kuzaa nao hila husiwaoe single mother.
 
Ogopa hiyo mutu no hatar poteza pesa sio amani yako
 
Kipindi Cha ukimya wake, mwenzio alikuwa anakuandaa kisaikolojia ili baade aje kukupiga na kitu kizito kichwani ambacho hakitakuacha salama.Muda umeongea mwenyewe umeshuhudia.

Mwambie akapeleke mtoto kwa baba Yake Kisha Rudi mfunge ndoa.
 
Kuna dada tulikubaliana tuzae mtoto.
Yeye alishakuwa na mtoto kabla.(alinambia jamaa hawawasiliani Tena)
Nikamuambia nitawalea wote.
Mwezi tuliokubaliana nikapata safari ya ghafla kabla ya tarehe zake.
Nikakaa mwezi.
Narudi nikaona kapata mabadiliko fulani ambayo yanaendana na shida za mwanzo za mimba.
Kumuulizia ananiambia ni kweli Ana mimba.
Mimba yenyewe ya baba wa mwanzo.[emoji22][emoji22]
Nikagundua kuwa kumbe alitaka ategeshe mimba kwingine aje aseme ya kwangu
Tukaishia hapo !!
Wazazi huwa hawaachani kirahisi !!
 
Wakuu

Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa

Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha

Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie

Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni

Naombeni ushauri.

Kipindi cha uchumba ni kipindi kigumu sanaaa.

Kipindi cha uchumba kila mwenza hufanya kila namna ya kumridhisha mwenzake kwa kila kitu yaan kifikra,kiroho kimwili na kimatendo.

Wengi wetu huwa tunaficha uhalisia wetu ndo jambo ambalo mwisho wa siku yanakuja kuonekana mkiwa tayari ndani ya ndoa,hilo huwa ni kosa kubwa sana.

Single mother au single faza inategemea tu na perception.

Wengi wetu tunapelekea mtazamo hasi kwa single mothers and fazas,eti aliye zaa nae hawezi kumuacha,
Usiishie hapo tu kuwaza .

You should think big in positive side
, Single mazas and fazas ndo wanao weza kutengeneza familia yenye furaha na amani coz alijifunza makosa kwa mtu aliye achana au kuzaa naye ko akimpata mwingine lazma atulie.

Mtoa thread kilicho baki ni ww na perception na decision yako.

Cha msingi tu before doing anymore,tusiwe na mtazamo hasi ktk maamuzi yyte.
Kaz kwako mkuu
 
Wakuu

Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa

Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha

Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie

Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni

Naombeni ushauri.
Oa tuu, mimi single mother wangu kuolewa napeleka matumizi tuu wala hatuna mahusiano kimapenzi mwaka wa 16 sasa.
 
Mwizi anakuibiq ukishalewa habari ndio hio kapata confidence baada ya kuamini umelewa penzi lake, Ushakuwa mende tayari huna ujanja
 
Alikosea kuficha toka mwanzo ila cheki na moyo wako. Binafsi nimeona single mothers wengi tu wameolewa na maisha yanaenda freshi. Hizo habari za hawezi muacha mzazi mwenza ni dhana tu ambayo watu wengi wanayo dhidi ya single mommas.
Kama unampenda we oa. Mtoto abaki huko huko alikokuwa siku zote.
Tatizo huwa wanajifanya kuwa wao ni maboga, yaani na ua lazima ulipende, usipolipenda ua, moyo wake unaingia nyongo na mapenzi kuporomoka!

Hayo hutokea hasa akiisha kukamilisha ndoa ama mkianza kuishi pamoja akijinafasi!

Ila kijana "fresh from school" hawezi kuanza maisha na msimbe, mnaomshauri mnampotosha!

Furaha ya ndoa ni pamoja na kuanza kutotoleshana mkiwa pamoja.

Itampa ugumu flani mume katika kuchukua malezi sahihi kwa mwanaye huyo wa kambo.

Na muelewe kuna mapingamizi ya vizazi saazingine, mnabadilisha mashuka na magodoro mimba hakuna, hapo moja kwa moja atakaye onekana dhaifu ni mume.

Kuna vipengele vidogo vidogo vya kukera sana kuoa single mama kuliko tunavyolichukulia kiujumla jumla hili jambo, ni gumu.

Nashauri huyo kijana atafute msichana aoe aanze naye kila kitu.
 
Single faza niko hapa nafatilia uzi taratibu, ingawa nakiri ni kweli sio rahisi mwanamke kumuacha kabisa aliyezaa nae, sio rahisi aisee maana mi mwenyewe niko kwenye hii field.

binafsi simshauri mtu asiye na mtoto kuanza maisha na single parent, iwe father au mother na kama akiamua afanye for his/her own risk, kuna vipengele ving vinakera

Mimi ntaoa single maza, najua njia zao zote
 
Piga chini hakuna mjadala kwenye kuoa single Maza

Nasema piga chini.

Mabinti mkizaa zaa ovyo nobody will give a damn about u.

Kama utakuja OA single Maza basi hakikisha umeliona kaburi la mumewe/aliezaa nae
 
Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,

1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?

Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida

Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Fact madhara ya kukariri ni mabaya sana kiakili.
 
Single Mother ni balaa Mkuu,
Utajuta mno,

Kama mtoto wake yuko ana miaka mitano,
It means mkioana tuana mleta uananza Kusomesha, na huyo mtot anajitambua
So atajua fika kuwa wewe si baba yake......

Mpka akuzalie, tayari wake yuko darasa la tatu, then ww wako anaza chekechea wake yuko Chuo....

ACHANA NA HIZO BIASHAHARA,

HASARA ROHOO, PESA MAKARATASI,
Fedhea kwao na kwa Washkaji isikufanye UKAFUNGA PINGU ZA KUJUTIA MAISHANI....
Duuu ukweli huu.
 
Back
Top Bottom