Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Kaka unaweza ukafanya yote hayo lakini ndani ya ndoa akakutibua hadi ukabaki unashangaa.

Rafiki yangu anampenda sana mkewe, wamebarikiwa watoto wawili. Jamaa kasafiri nje ya nchi mwaka mmoja na nusu karudi mkewe ana mimba kuuuuubwa ya karibia kujifungua na hivi tunavyoongea alishajifungua yupo kwao kwa wazazi wake anaomba msamaha kwa mumewe arudi maisha yaendelee.

Ni kuomba Mungu tu
Amemsamehe , au bado mkuu
 
Na wao wasiolewe tu.
Unaanzaje mechi moja bila!?
Aafu mnasema, nataka mume wangu peke yangu.
Pumbafu!! Wakati yeye tayari anakuwa nao wawili!!
Singo maza aolewage mke wa pili au wa tatu!!
Hapo inabalance.
Afu masingle mother wengi anapenda kuolewa na wanaume ambao hawana watoto.
 
Huna uzoefu wewe.
But do it for your own risky.
Advice to men; usiwe na mwanamke Kwa kumuonea huruma. Kuwa na mwanamke endapo tu anakidhi standard zako na awe anaweza kuziishi.
 
NA UNAWEZA KUKUTA BABA WA MTOTO TAYARI KAPEWA AHADI YA MUALIKO KWENYE HARUSI YENU.
NA YAWEZEKANA JAMAA YAKE UNAMJUA VIZURI TU,KAMA MFANYAKAZI MWEZIE, JIRANI, NDUGU WA KARIBU.
HAYA YA KUOA WAKE ZA WENZENU, HUWA YANAWALETEA STRESS SANA NI VILE HAMJUI TU.
ENDELEA MWAMBA
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nenda show room achana na magari yaliyotumika Kama taxi huko nyuma.
 
Back
Top Bottom