Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Amemsamehe , au bado mkuuKaka unaweza ukafanya yote hayo lakini ndani ya ndoa akakutibua hadi ukabaki unashangaa.
Rafiki yangu anampenda sana mkewe, wamebarikiwa watoto wawili. Jamaa kasafiri nje ya nchi mwaka mmoja na nusu karudi mkewe ana mimba kuuuuubwa ya karibia kujifungua na hivi tunavyoongea alishajifungua yupo kwao kwa wazazi wake anaomba msamaha kwa mumewe arudi maisha yaendelee.
Ni kuomba Mungu tu