Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Ngara ina sehemu mbili, kaskazini ambako majority ni wahangaza(Bugufi) kieneo inapakana zaidi na Rwanda naongelea kuanzia maeneo kama Buhororo hadi Rusumo na kusini(Bushubi) huko wapo washubi na eneo lake kubwa linapakana na Burundi, maeneo kama Kabanga, Rulenge hadi chini huko mpakani na Kigoma. Ni ngumu sana kutofautisha Muhangaza, Mshubi, Mnyarwanda na Mburundi(Hutu, Tutsi and Twa)
Uko sahihi kabisa
 
Uliyoaandika hayana ukweli hata kidogo Ngara ni wilaya iliyonyuma sana kimaendeleo Kwa sababu ya watu wake kuwa wavivu sana, wilaya hii inaogopeka Kwa uchawi na wanawake wengi ni wachawi balaa ww nenda kaoe mhangaza kama hujalogwa utaniambia
Kwani kuwa nyuma kimaendeleo kunaondoa uhalali wa nilichokiandika?
 
Sasa ww umekaa huko mwaka mmoja tu, Mimi natokea karagwe ndio NYUMBANI nilikozaliwa nawajua Hawa watu kuliko ulivyoandika
Tatizo wakiolewa kwenu, inferiority complex yao ina turn into superiority complex! Hii inazaa ubabe, kutojiamini kunakoleta kwenda kwa waganda (wachawi) na kudhani kila siku kuwa wanaonewa! Hivyo inaonekane wanawake wa kihangaza ni wasumbufu. Halafu nao wanaacha kufanyakazi kwa bidii, mwisho wa yote wanaonekana wavivu. Hivyo BUSH BIN LADEN msamehe bure
 
Nimetoka Dar nipo kasulu kikazi, naona uzi huu.

Naomba muongoza kutoka hapa kasulu na ngara kuna umbali gani? Na sehemu gani nifikie nijionee kwa macho haya yote ya WAHANGAZA
 
Uliyoaandika hayana ukweli hata kidogo Ngara ni wilaya iliyonyuma sana kimaendeleo Kwa sababu ya watu wake kuwa wavivu sana, wilaya hii inaogopeka Kwa uchawi na wanawake wengi ni wachawi balaa ww nenda kaoe mhangaza kama hujalogwa utaniambia

Hiii comment imenikata moto aisee
 
Back
Top Bottom