Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
Fikia benaco ,kabanga au ngara mjini
Sawaa mkuu. sitaki magube gube naenda kuangalia wife material naweza opoa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikia benaco ,kabanga au ngara mjini
Weee kumbe unatafta mke nipo hapa [emoji23][emoji23]
Ndioo mhangaza og[emoji28][emoji28] kumbe we ni Ke mkuu.
Wewe ni muhangaza?
🤣🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa
Nimemkumbuka demu mmoja mrembo mnoooo aliitwa Queen aliolewa na Ofisa mmoja wa serikali mlevi kupindukia
Sikuamini yule mwanamke aliwezaje kuishi na kumvumilia yule mwamba, kajamaa kenyewe kafupi halaf kalevi, chee!
Hakuna unachokijua kuhusu washubi na wahangaza wewe kaa kimya acha kupotosha watu, idiot.Siwaongelei Kwa negative way ndio uhalisia ulivyo !
Pia wanyamboSijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.
Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.
Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;
Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.
Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.
Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.
Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.
Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.
Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.
Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.
Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.
View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nauli kutoka daslam mpaka ngara kiasi gani, lodge nzuri sh ngapi kwa siku, nataka nifike nifanye utalii wa ndani..
Nilishaaanga kutokukuona hukuNauli kutoka daslam mpaka ngara kiasi gani, lodge nzuri sh ngapi kwa siku, nataka nifike nifanye utalii wa ndani..
Si unajua mie ni mpenda utalii..si rahisi kunikosa huki 😝😝🤣Nilishaaanga kutokukuona huku
Kule kuna vinu vya kutwangia makande mzeeSijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.
Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.
Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;
Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.
Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.
Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.
Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.
Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.
Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.
Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.
Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.
View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
😂😂😂😂Unamsakama huyu bwanaNilishaaanga kutokukuona huku
😂😂😂😂Kule Wana penda redio kwizera hivi hili neno lilitokana na nini labdahata neno ANGAZA limetokea kwao.
Kabla ya kuoa kokote jiulize sana usijekujikuta upo ANGAZA
Maalim asalaam aleykumNauli kutoka daslam mpaka ngara kiasi gani, lodge nzuri sh ngapi kwa siku, nataka nifike nifanye utalii wa ndani..
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh sheikh wangu.Maalim asalaam aleykum