Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Kweli kabisa

Nimemkumbuka demu mmoja mrembo mnoooo aliitwa Queen aliolewa na Ofisa mmoja wa serikali mlevi kupindukia

Sikuamini yule mwanamke aliwezaje kuishi na kumvumilia yule mwamba, kajamaa kenyewe kafupi halaf kalevi, chee!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Pia wanyambo
Wote ni binadamu mapungufu yapo
 
Kule kuna vinu vya kutwangia makande mzee
 
hata neno ANGAZA limetokea kwao.

Kabla ya kuoa kokote jiulize sana usijekujikuta upo ANGAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ