Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Hakuna picha ingine Zaid ya hii?
 
Watusi hao wamekudatisha, ila wazuri na wabaya wapo, usiende kichwa kichwa nimeishi huko najua vizuri nachosema
 
Ukifika Mbeya katika manispaa ya Mbalizi omba sana upelekwe wanapokaa watu wa kabila la wamalila alafu kampate mdada wa huko .

Ni imani yangu utakuja kutengua hizi habari zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…