Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Sijawahi kwenda uko hawafanani na wahaya?Ngara na Bihalamulo ndiko unawapata kirahisi huku mikoa mingine ni wachache sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kwenda uko hawafanani na wahaya?Ngara na Bihalamulo ndiko unawapata kirahisi huku mikoa mingine ni wachache sana.
YeahFanya mchakato. Utaleta mrejesho.
Hakuna picha ingine Zaid ya hii?Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.
Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.
Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;
Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.
Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.
Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.
Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.
Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.
Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.
Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.
Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.
View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
Watusi hao wamekudatisha, ila wazuri na wabaya wapo, usiende kichwa kichwa nimeishi huko najua vizuri nachosemaSijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.
Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.
Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;
Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.
Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.
Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.
Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.
Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.
Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.
Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.
Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.
View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
Hawafanani na wahaya kabisa, hata kihaya hawakijui, wanaongea kihangaza na kisubi kwa mbali.Sijawahi kwenda uko hawafanani na wahaya?
Wabaya wapo pia. Ila kwa asilimia kubwa wapo hivyo.Watusi hao wamekudatisha, ila wazuri na wabaya wapo, usiende kichwa kichwa nimeishi huko najua vizuri nachosema
Majina yao mfanoHawafanani na wahaya kabisa, hata kihaya hawakijui, wanaongea kihangaza na kisubi kwa mbali.
WakojeWatusi hao wamekudatisha, ila wazuri na wabaya wapo, usiende kichwa kichwa nimeishi huko najua vizuri nachosema
Kama mabinti wa kagameWakoje
Linda, Pendo, Tumwamini, segesa n.kMajina yao mfano
Sula za hiviKama mabinti wa kagame
Nipe uzoefuMengi uliyosena ni sahihi
Hujakosea hasa huyo wa mkono wa kushoto. Sura zao ni natural beauty.Sula za hiviView attachment 2513752
Kiswahili wanakijua vizuriHujakosea hasa huyo wa mkono wa kushoto. Sura zao ni natural beauty.
Wanakijua vizuri.Kiswahili wanakijua vizuri
Huyo atakuwa alikuwa mkorofi. Wa hivyo wapo makabila yote.Katika harakati za maisha kuna kipindi niliwahi ishi kwa ndugu, mama mwenye nyumba alikuwa muhangaza cha moto nilikiona.
Sasa sijui ni wote au baadhi
Ukifika Mbeya katika manispaa ya Mbalizi omba sana upelekwe wanapokaa watu wa kabila la wamalila alafu kampate mdada wa huko .Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.
Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.
Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;
Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.
Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.
Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.
Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.
Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.
Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.
Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.
Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.
View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
Labda mkuuHuyo atakuwa alikuwa mkorofi. Wa hivyo wapo makabila yote.