Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Picha ni chache.
Wameumbika?
Ushakutana na mhangaza aliyekulia mjini kama dar?
 
Hizi habar za Bikra zimekuw nyingi mnooo
 
Wamalila wakoje hao, ndiyo kwanza nawasikia.
Hao ni wale jamii ya mtangazaji wa mpira bwana Baraka mpenja .

Wanawake wa kule wana sifa zote ulizotaja hapo juu ila la ziada ni wanawake wenye upendo uliopitiliza akipenda amependa hata uoe wanawake wengine hakuachi ataendelea na wewe .

Ila cha kustaajabisha ni kuwa ukimuoa mpe shamba atakutunza vizuri wewe na mtoto .

Hivyo wito wangu kwa vijana wote wanaopenda mserereko wa kutunzwa ni huku ila mind you muwe na mashamba sio uje na ndevu zako tu hautakubaliwa .
 
Safi sana. Hawa ni wife material pia.
 
Nimeishia kusoma heading tu sijasoma uzi lakini kama unamaanisha hao wadada wa kihangaza ambao asili yao ni Watusi wa Rwanda ni kweli ni wazuri sana pia wamebarikiwa kuwa na vivutio vya utalii(shepu)
Ila kubwa zaidi hawa mabinti wa Kagame wamejaaliwa kuwa na moyo wa kutoa yaani hawanaga roho mbaya kabisa wana "roho nzuri" hawawezi kumyima kitu mtu mwenye uhitaji
 
Kumbe
 
Hata wafanyakazi wa ndani ukipata muhangaza huwa wanadumu sana.
Ni wazuri kwakweli
Kuna human trafficking huko, watu wanatoa order ya mwanamke unayemtaka na vigezo wanakuletea kutoka ngara.
Nimelishuhudia jambo hili mwaka jana na wakiletwa akakataliwa analia hataki kurudi kwao. Nilikuwa Ibwera kijiji fulani nikaonyeshwa nyumba kama 4 wameoa wanawake wa kuletewa na mmoja aliletwa akakataliwa akaanza kulia ila akaja kupata mwingne
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…