Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Yes Ibwera na izimbya ndo maeneo maskini zaidi Bukoba....huwezi linganisha Ibwera na kamachumu, kiziba, bugabo, muleba nk nk...

Kule bado kidogo....
Mkuu naomba nikuulize, hivi ni kwa nini Wahaya mnawadharau sana hao Wahangaza mnawaitaga Warundi na manamba wa mashamba yenu, kiasi kwamba Muhaya akikuita 'mrundi' inasemekana ni amekudharau sana na ni tusi kubwa sana.
 
Mtoa mada hujadanganya, nimeishi nao, wallahi ni wachapakazi, wavumilivu pia.
Mimi na gubu langu lakini nimeishi na wahangaza mwaka mzima sikumbuki siku niliyofoka.....I miss them.
Ile black beauty Sasa, na nywele nzuri, adabu usiseme tena sio ya maigizo......
 
Kumbe sio watu wa filter na scrub
 
Mtoa mada hujadanganya, nimeishi nao, wallahi ni wachapakazi, wavumilivu pia.
Mimi na gubu langu lakini nimeishi na wahangaza mwaka mzima sikumbuki siku niliyofoka.....I miss them.
Ile black beauty Sasa, na nywele nzuri, adabu usiseme tena sio ya maigizo......
Uliishi maeneo gani
 
Aisee wewe unawafahamu vizuri.
Mwanamke black beauty ni anapendeza sana.
 
Back
Top Bottom