Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Waangaza na Wasubi huwa nawaona na tabia za wanawake wa Burundi wala siwaoni kama Rwandese
Ngara ina sehemu mbili, kaskazini ambako majority ni wahangaza(Bugufi) kieneo inapakana zaidi na Rwanda naongelea kuanzia maeneo kama Buhororo hadi Rusumo na kusini(Bushubi) huko wapo washubi na eneo lake kubwa linapakana na Burundi, maeneo kama Kabanga, Rulenge hadi chini huko mpakani na Kigoma. Ni ngumu sana kutofautisha Muhangaza, Mshubi, Mnyarwanda na Mburundi(Hutu, Tutsi and Twa)
 
From no where na isivo elezeka wengi wao wana nywele za kisomali, sijui ilitokeaje tokeaje
 
Uliyoaandika hayana ukweli hata kidogo Ngara ni wilaya iliyonyuma sana kimaendeleo Kwa sababu ya watu wake kuwa wavivu sana, wilaya hii inaogopeka Kwa uchawi na wanawake wengi ni wachawi balaa ww nenda kaoe mhangaza kama hujalogwa utaniambia
 
Hatimae tumefikiwa[emoji1787][emoji1787] husband material njoo sasa . .....konde boy usiguse hii comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…