Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Hiyo Radio ni ya UN ilianzishwa kwa ajili ya Wakimbizi waliokuwepo Ngara.
Aaaaah apa sasa naanza kupata majibu ya maswali yangu yote imekuaje vicent karega kujua takwimu ya watu wote walio Kanda ya ziwa kuanzia Kagera mpk kigoma ihali Hana uongozi wowote hapa nchini Tanzania kwa kusema watu wote wa ukanda huo ni raia wa Rwanda swali je kajuaje?
 
Ngoja na Mimi niwaongelee Wahangaza kwa namna ninavyowajua maana nimekaa nao Zaid ya miaka 8 hivyo Nina uzoefu nao Sana.
1.Mwanamke wa kihangaza ni mtu asiyejua neno NO ukimtongoza yaan kumwin mwanamke wa kihangaza ni simple sana.

2.Ukiwa mtu wa kuja ukioa mhangaza hakikisha hauishi nae Ngara ,oa ondoka nae hapo utakua umecheza Kama Pele .Ila ukajichanganya ukaoa alafu uendelee kuishi nae Ngara utachapiwa Sana na Kaka zake aliosoma nao yaan Wahangaza wanzake.

3.Mwanamke wa kihangaza anaweza kuwa na wanaume hata wanne sehemu moja na msijuane kabisa na siku mkojuana bado atakataa kabisa hicho kitu ,kwakifupi ni mafia Sana kwenye kucheat yaan hawaridhik kabisa Hawa watu.

4.Wanawake wa kihangaza wanaenda Sana shughuli Kama harusi, viapaimara ,ubatizo ,Misiba hapo mwanamke lazima ahudhurie ndio anajisikia mwanamke haswa.Kila shughur hata asiyomhusu Yuko tayar ashone sare lengo ahudhurie tu.

5.Mwanamke wa kihangaza haoni shida kukupa sumu (vipeano) mkizinguana .Ni watu wanaoamini Sana ushirikina ,huko Kuna Hadi radi za kununua toka Burundi.

6.Wana hasira Sana Ni watu wa vinyongo Sana ,anaweza kaa na kitu mwaka mzima na huku anakuchekea siku ukijaa kwenye 18 ndio unakua mwisho wako.

7.Kuna watu wameandika hapa eti Wahangaza ni wazuri Sana ,Hilo sipingi Sana japo ni maeneo na maeneo mfano upande wa benaco ,Ngara mjini ,bushubi sehemu moja panaitwa nyakisasa ,kashinga na muyenzi ,na Kijiji Cha Mabawe huko ndio Kuna vyuma haswa maana walio wengi Wana asili ya kinyarwanda.Kwa upande wa Kabanga na sehemu zingine asilimia kubwa wengi ni wahutu wa Burundi yaaan ni wakawaida Sana pia Wana asili ya uchafu kuanzia kuoga na kujipenda yaan sio kiivo.

8.Wahangaza wakioana wenyew kwa wenyew wako tayar wakutegeshee mgeni upite na mwanamke wakufumanie ili wapate million kazaa wapate maisha ,so mwanaume na mwanamke wanakaa ili wafanye hiyo biashara yaan mwanaume anamuuza mke wake Kiana ili wapate uutajir na wakifanikiwa wao huendelea na ndoa yao Kama kawaida bila shida na mapenz yanapamba Moto Kati yao kwa kufanya dili la namna hiyo .Na hii ipo sehemu karibia zote za Wilaya ya Ngara.

9.Hapa ntajumrisha wote wa kiume na kike.Wahangaza kwa asilimia kubwa hawapendan kabsa wao kwa wao ,wao kwa wageni ndio maana Wilaya Ina uduni Sana .

10.Mwanamke wa kihangaza ukiingia nae kwenye ndoa na ukaishi nae hapo Ngara jiandae kuwafaidisha Askari polisi maana wanapenda Sana mambo ya kupelekana polisi.Vituo vingi vya polisi Ngara kesi zimejaa za Wana ndoa.So Kuna mawil ukipishana na mke wako jiandae kwenda polisi pia jiandae kugongewa Sana na Askari polisi maana wao wanaamin Sana akiwa na askar yyupo mikono Salama.

11.Askari polisi wanaofanya kazi Ngara wengi wametajirika kupitia kesi za Wana ndoa maana ni nyingi Sana ,yaan kituo kwa siku hakiwez kukosa kesi ya Wana ndoa.

12.Wanawake wa kihangaza wanajua Sana sex maana Wana squart Sana maji .wazee wa maji mnanielewa hapa.kule kila mwanamke kwa asilimia kubwa ukimtia lazima atoe mimaji ya kutosha na Ina raha yake ile.

13.Hapa kwa upande wa wanaume ni masnitch Sana ,usiongee kitu na mwanaume wa kihangaza ukajua ni Siri ,umekwisha hawana utofaut na wamakonde.

Mwisho mnaotaka kwenda kuoa Wahangaza lazima mjue hayo ukitaka kumshinda mwanamke wa kihangaza oa sepa nae maana wakiwa ugenini ni waoga Sana pia wanakua na nidhamu Sana maana walioweng wakishatoka Ngara hawatak Tena kutud kwao Zaid kusalimia tu.Ukimuoa na ukamtoa Ngara hapo utamfaid mwanamke wa kihangaza .
Ni hayo tu
 
Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.

Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na Bihalamulo mkoani Kagera.

Na mwaka sasa umepita toka nilipohama kutoka maeneo hayo, lakini nadriki kusema pamoja na kuhama kwangu kutoka huko, sijasahau sifa nzuri za wanawake wa KIHANGAZA.

Kwa nini nadrika kusema wanawake wa KIHANGAZA ni wife material;

Kwanza ni wavumilivu, aisee ukitoa wasukuma kwa uvumilivu basi hawa wanawake wa KIHANGAZA ni wavumilivu sana na wanaridhika na kila hali ya maisha.

Pili ni warembo na wazuri wa asili. Aisee hawa wanawake ni wazuri sana na wengi Wana sura na maumbo ya kinywaranda na warefu kiasi, Wana weusi wao mzuri sana hawatumii mkologo kabisa walio wengi.

Tatu, wanajitunza sana, kwa wahangaza mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jambo la kawaida sana. Wanajitunza sana si ajabu ukakutana na binti wa miaka 23-25 akiwa bikra kabisa.

Nne ni wachapakazi, hawa watu wanafanya kazi sana aisee, yaani ni kama wasukuma, siyo wavivu wa Kazi hata kidogo.

Tano , Mwanamke wa KIHANGAZA akikupenda ni amekupenda kweli, yaani hata kama mko dini tofauti yeye yupo tayari abadili dini yake ila asikupoteze.

Sita, wanapenda sana kufanya biashara, wanawake wa KIHANGAZA nawafananisha na wakichagga kabisa, hawa wanawake wanapenda sana kufanya biashara, yupo radhi usimuhudumie vizuri ila umpe biashara ajisimamie mwenyewe.

Saba, Mahari ya kuoa kwa wahangaza ni ndogo sana. Hawa watu hawapendi kupokea mahari kubwa sana, ndiyo maana wahaya wanawaoa sana.

Mapungufu niliyoyaona kwao;
Elimu kwao si kapaumbele, yaani hawa watu mtoto yupo radhi afanye mtihani vibaya Ili afeli asiendelee na masomo, hawataki kabisa kusoma.

View attachment 2513717View attachment 2513716View attachment 2513718
Wasukuma ni wavumilivu Sasa kipimo Cha uvumilivu ni nini maana Kuna mademu kibao wa kisukuma hapa mjini DSM wamekimbia waume zao huko mwanza
 
Ajitokeze muhangaza wa kuniconnect na dada ama ndugu yake. N.B niko serious
Ngoja na Mimi niwaongelee Wahangaza kwa namna ninavyowajua maana nimekaa nao Zaid ya miaka 8 hivyo Nina uzoefu nao Sana.
1.Mwanamke wa kihangaza ni mtu asiyejua neno NO ukimtongoza yaan kumwin mwanamke wa kihangaza ni simple sana.

2.Ukiwa mtu wa kuja ukioa mhangaza hakikisha hauishi nae Ngara ,oa ondoka nae hapo utakua umecheza Kama Pele .Ila ukajichanganya ukaoa alafu uendelee kuishi nae Ngara utachapiwa Sana na Kaka zake aliosoma nao yaan Wahangaza wanzake.

3.Mwanamke wa kihangaza anaweza kuwa na wanaume hata wanne sehemu moja na msijuane kabisa na siku mkojuana bado atakataa kabisa hicho kitu ,kwakifupi ni mafia Sana kwenye kucheat yaan hawaridhik kabisa Hawa watu.

4.Wanawake wa kihangaza wanaenda Sana shughuli Kama harusi, viapaimara ,ubatizo ,Misiba hapo mwanamke lazima ahudhurie ndio anajisikia mwanamke haswa.Kila shughur hata asiyomhusu Yuko tayar ashone sare lengo ahudhurie tu.

5.Mwanamke wa kihangaza haoni shida kukupa sumu (vipeano) mkizinguana .Ni watu wanaoamini Sana ushirikina ,huko Kuna Hadi radi za kununua toka Burundi.

6.Wana hasira Sana Ni watu wa vinyongo Sana ,anaweza kaa na kitu mwaka mzima na huku anakuchekea siku ukijaa kwenye 18 ndio unakua mwisho wako.

7.Kuna watu wameandika hapa eti Wahangaza ni wazuri Sana ,Hilo sipingi Sana japo ni maeneo na maeneo mfano upande wa benaco ,Ngara mjini ,bushubi sehemu moja panaitwa nyakisasa ,kashinga na muyenzi ,na Kijiji Cha Mabawe huko ndio Kuna vyuma haswa maana walio wengi Wana asili ya kinyarwanda.Kwa upande wa Kabanga na sehemu zingine asilimia kubwa wengi ni wahutu wa Burundi yaaan ni wakawaida Sana pia Wana asili ya uchafu kuanzia kuoga na kujipenda yaan sio kiivo.

8.Wahangaza wakioana wenyew kwa wenyew wako tayar wakutegeshee mgeni upite na mwanamke wakufumanie ili wapate million kazaa wapate maisha ,so mwanaume na mwanamke wanakaa ili wafanye hiyo biashara yaan mwanaume anamuuza mke wake Kiana ili wapate uutajir na wakifanikiwa wao huendelea na ndoa yao Kama kawaida bila shida na mapenz yanapamba Moto Kati yao kwa kufanya dili la namna hiyo .Na hii ipo sehemu karibia zote za Wilaya ya Ngara.

9.Hapa ntajumrisha wote wa kiume na kike.Wahangaza kwa asilimia kubwa hawapendan kabsa wao kwa wao ,wao kwa wageni ndio maana Wilaya Ina uduni Sana .

10.Mwanamke wa kihangaza ukiingia nae kwenye ndoa na ukaishi nae hapo Ngara jiandae kuwafaidisha Askari polisi maana wanapenda Sana mambo ya kupelekana polisi.Vituo vingi vya polisi Ngara kesi zimejaa za Wana ndoa.So Kuna mawil ukipishana na mke wako jiandae kwenda polisi pia jiandae kugongewa Sana na Askari polisi maana wao wanaamin Sana akiwa na askar yyupo mikono Salama.

11.Askari polisi wanaofanya kazi Ngara wengi wametajirika kupitia kesi za Wana ndoa maana ni nyingi Sana ,yaan kituo kwa siku hakiwez kukosa kesi ya Wana ndoa.

12.Wanawake wa kihangaza wanajua Sana sex maana Wana squart Sana maji .wazee wa maji mnanielewa hapa.kule kila mwanamke kwa asilimia kubwa ukimtia lazima atoe mimaji ya kutosha na Ina raha yake ile.

13.Hapa kwa upande wa wanaume ni masnitch Sana ,usiongee kitu na mwanaume wa kihangaza ukajua ni Siri ,umekwisha hawana utofaut na wamakonde.

Mwisho mnaotaka kwenda kuoa Wahangaza lazima mjue hayo ukitaka kumshinda mwanamke wa kihangaza oa sepa nae maana wakiwa ugenini ni waoga Sana pia wanakua na nidhamu Sana maana walioweng wakishatoka Ngara hawatak Tena kutud kwao Zaid kusalimia tu.Ukimuoa na ukamtoa Ngara hapo utamfaid mwanamke wa kihangaza .
Ni hayo tu
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Back
Top Bottom