Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa hiyo Starlink vifurushi havina kikomo?Huyu failure kashindwa hata kutoa license kwa starlink ili nchi nchi nzima tupate high speed internet bila kupimiana MB, alitakiwa apigane ili starlink walete service yao nchini lakini kwa akili zero alizonazo alikuwa kikwazo, nimefurahi sana limepigwa chini
Ndio nani huyo?Tusubiri ya Katanga
Waliokuwa chawa wasingeweza zaidi wangemfariji.Aibakishe vijana wamkaange??
Hapa Singida black stars anakuona mchawi...😆Apa bado kete moja
Technically yesKwa hiyo Starlink vifurushi havina kikomo?
Anaogopa Waswahili watamzodoa "kiko wapi"?
Ninyi mnaishi pamoja? Maana Kiranga na wewe Infropreneur mmepangana kukomentMama kanusa..
Mnaisha❌Ninyi mnaisha pamoja? Maana Kiranga na wewe Infropreneur mmepangana kukoment
5&6 kwann na watoto ni wapingaji wa uwepo wa Mungu?
Chekechekea nimerudi mkuu.Mnaisha❌
Kwann❌
Watoto ❌
Rudi chekechea kwanza kajifunze kuandika.
Kivipi?[emoji28][emoji28]jamaa alkua mzigo
Hapana.Chekechekea nimerudi mkuu.
Jibu swali mnaishi geto Moja na kiranga?
Poa. Wokovu umekaribia malangoni mwenu. Sema AminaHapana.
Bado huyo mmojaKazi kwelikweliView attachment 3048304
Amrejeshe haraka sana hapo kuwa Kiongozi...Tusubiri ya Katanga
Huyu waziri hakuwa na maadiliView attachment 3048317
Hata ngekuwa mm nngefuta😄
Anaogopa Waswahili watamzodoa "kiko wapi"?
😅😅Aibakishe vijana wamkaange??
Aondoe na huo mzinga wa baruti za kodi...........wachaga warudi kura kisusio chao.......sijui alimtoaga wapi huyu mchumi?.........huyu ata kama angekuwa leader wa kikoba ngumi zingetokea........Kazi kwelikweliView attachment 3048304