Tetesi: Baada ya kuteua Raia wa UGANDA,Waziri Jenista Mhagama anamuandaa Lawrence Mafuru kuwa bosi mpya NSSF

Status
Not open for further replies.
Huyu Mafuru hafai,Bora yule mafuru aliekuwa vodacom
 
Haaa haaa Dau alikua mrija mkuu sasa umekatwa naona wanaokosa huduma wanalialia tu huku,kubalini matokeo Dau regime is over na nyinyi anzeni kuisoma namba tu hakuna namna ndio HAKI ilivyo inachomachoma.
 
naomba mtupakulie CV ya Lawrence Mafuru ili tujue tunaanzia wapi kuchangia habar hii.
 
Chuki Binafsi, basi uteuliwe wewe sasa au waje malaika toka mbinguni !
 
Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF

Usikubali kuingia kwny Mtego wa kuwa Mdini, Athari yake usipovuna wewe hata wajukuu zetu wataikuta. Usitengeneze Mazingira ionekane Dau kaondolewa kwa kuwa ni Swala tano,nakushauri achana na suala la Imani ya mtu ni hatare sana sana kwa mustaqbal wa Taifa na Jamii yetu.
 
Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF
Kijana mbona issue ya Dau imeisha, keshaachia nafasi. mbona ni wewe tuu ndiye unayefuatilia na kuandama habari za Dau?

Hivi sasa vita ni nani ashike nafasi yake na wanaogombea na kutajwa sio jamaa zake Dau, Bali ni watanzania wengine, na kila atajwaye hamuishi kuwajengea majungu.
 
Hapa JF naona panaharibiwa sana. Anapitajwa mtu kusikia wadhifa wowote, basi tunaona kashfa sizizo na Ushahidi na kuharibian majina. Kwa mwendo huu sidhani kama kuna mtanzania atakayepata nafuu ha JF. Linazidi kuwa jukwaa la udaku
 
mkuu umewaza nini????
doh
 
kwa tabia hizi ndio maana Donard Trump anatutukana waafrika yaani tunachoweza majungu ,umbea na ngono
 
Abas acha kudanganya watu jenista siyo MAMLAKA ya uteuzi wa hyo post,yeye anaweza tu kumteua wa kukaimu,hata hivyo una maslahi na dau ambaye amefikisha Nssf kuwa matapeli kwa kuwa hawawezi tena hata kukopesha Saccos kama walivyojitutumua,mfano huko moshi wanachama wa Saccos wametapeliwa na ukweli ni kuwa cash flow ya shirika ni mbaya sana,kusema shirika ni kubwa hata NIC walokuwa giant lakini ukishindwa kulipa madeni wafwa ndiko Nssf ulikuwa inaelekea ndani ya kiongozi ULIOTUKUKA WA DOKTA DAU!!!!!
 
Hawa watu wa Dr. Dau wanahaha sana.... Inaonekana jamaa kaumia sana kwa Dau kuondoka..... No more misikiti tena ndani ya NSSF

Kama misikiti inakuumiza sana basi anza kubomoa makanisa pia yaliyojaa ofs za umma..

Si Mlikua kila msimu wa krismas na noel mnaweka masanamu mle kwenye ofis za umma?
 
Chuki zako dhidi ya Imaan za watu wengine si jambo lenye kupendeza,jifunze kujadili hoja
 
Kama misikiti inakuumiza sana basi anza kubomoa makanisa pia yaliyojaa ofs za umma..

Si Mlikua kila msimu wa krismas na noel mnaweka masanamu mle kwenye ofis za umma?
hahaha mkuu kinachowakera wao ni huu uislam wetu.
 

Naona unahangaika sana ila utambue tu liwe jua ama mvua 'wenyewe' wameamua Dau hatorudi tena NSSF....
Binafsi nilimpenda Dau coz amelifanya NSSF kuwa na vitegauchumi vingi na mtaji wa uhakika kuliko mifuko mingine....
 
Kiukweli tungekuwa na Rais wa maana, huyu Jenister hadi wakati huu angekuwa anazungumza akiwa Peramiho anafungia kuku zizini, hana kazi serikalini.

Ova
 
Hii katiba mpya ya Warioba itaanza lini ili nafasi kama hizi watu waombe na kufanyiwa usaili. Ni aibu kubwa sana karne ya 21 watu bado tunatumia njia za kishirikina na kubahatisha kuchagua viongozi wa mashirika makubwa hapa nchini

Such posts should be advertised and applicants vetted by a panel of experts and the successful applicant be appointed by the president.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…