Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Wale wa "chama kikuu cha upinzani" meno yote nje!! akili za kutikisa October kiama chenu mnaweza kukosa hata mbunge mmoja
kwa kutumia Polisi inawezekana lakini kwenye sanduku hata mkifanya kampeni bila nguo hamuiwezi chadema kwa lolote
 
pambaf zake! alifikiri wananchi walimfuata yeye kalaghabao! Wananchi walifuata chama cha CDM sio yeye!
 
Siasa buana,!! Kwani CCM, NCCR, ACT, UDP, CHAUMA hawataweka wagombea? Kwa nini kichwa cha thread kisisomeke kwamba RWAKATARE(CUF) avizika vyama vya CCM, CHADEMA, ACT na CHAU
A katika manispa
 
Mzee wetu badala aupumzike home acheze na wajukuu sasa njaa inamuaibisha!!
 
kwa kutumia Polisi inawezekana lakini kwenye sanduku hata mkifan yaya kampeni bila nguo hamuiwezi chadema kwa lolote
mbona unaweweseka mkuu ,mchukulieni Mzee membe fomu October mfanye yale 2015
 
Hakuna mkuu kuliko chadema aliondoka yule babu mzizinzi wa Sweden, chadema ikachukua nchi 2015 ingawa haikutangazwa, sembuse huyu mzee tuliyeemtetea asifungwe kwenye ilie movie yake na dogo rudovic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…