Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Wewe zako zimejaa uji
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare? Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
 
Nani kakudanganya kwamba Lwakatare ni baba wa siasa za Bukoba? Yaani mwaka huu kama atapata kura 5000 akatambikie! Alidanganywa na ma-CCM eti akitoka CHADEMA basi chama kitakufa.

kwa taarufa yako wana Bukoba wamempotezea ile mbaya alikuwa anategemea kwamba wale waliomwunga mkono kipindi anahama CUF kwenda CHADEMA watamfuata tena matokeo yake kaenda peke yake!
 
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare? Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
Mbona kama umepanic mkuu..huo ubabe bado anao au umekariri tu?? Lwakatare ndo kwisha hbr yke..yaani bukoba kwa sasa Lwakatare anachukuliwa kuwa kafirisika kisiasa na hata angebakia chadema wala asingepitishwa mwaka huu...kifupi ameloweka [emoji23]
 
Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .

View attachment 1469795
[emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Mwana kuyataka... Mkataa pema..? Wahenga walisema!!!
IMG-20200605-WA0060.jpg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom