Hawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
Mnadhani USA ni Mbowe?Hahahah.. Una hasira kweli!
Usifikiri USA ipo kama kamati kuu ya chadema
Kutomweka ndani sio kwasababu ni Mmarekani. Ni kwasababu ni Balozi. Hata angekuwa Balozi wa Comoro, huwezi kumuweka ndani katika nchi anayowakilisha. Hata Balozi wetu Masilingi (Kiboko ya Lissu) Wamarekani hawawezi kumuweka nani kwa KOSA LOLOTE atakalofanya huko. Umenielewa dogo? Haya njoo unywe K Vant. AhahahahahahahajMuwekeni ndani muone cha mtema kuni
MATAGA bwana. Ushakula ugali umeshib unajifananisha na MarekaniMabeberu this time wanahaha
In fact, tungekuwa ni watu wa ufahamu, picha hii waliyotuonyesha hawa watawala, kwa kuthamini uchumi zaidi ya maisha yetu, wakati huu wangekuwa katika hali ngumu zaidi.Unafikiri sijui? Mbona nime-kejeli tu? Athibitishe nini wakati yeye anawapa raia wake hali halisi? Hujui nchi kama USA zinathamini sana sana usalama na uhai na raia wake na siyo kama hapa Bongo wanakoona uhai wa raia ni kama wa nzi tu?
Ni maoni yako weweBalozi siyo mtu wa kumtembeza tembeza ana heshima zake tena balozi wa USA?
Which evidence do you want or need?Do you have any evidence to support this statement?...
Mtazamo wako ni wa kiumaskini uliotopea!!! Somoni vijana muongeze ufahamu, elimu haina mwishoHii ni serikali ya hovyo sana tangu tupate uhuru, viongozi karibu wote utafikiri wametolewa kwenye shit hole
Ili nipate Phd fake kama zile za Chato?Mtazamo wako ni wa kiumaskini uliotopea!!! Somoni vijana muongeze ufahamu, elimu haina mwisho
Kataa misaada yao kwanza then ndio urudi kuongea hayo iran tuliona walikataa mpaka misaada ya corona.CIA wangekuwa kama unavyowapamba mataifa kama north Korea ,china,Iran na Cuba yasingekuwepi
All in all CIA ni watu
DuhMtu mwenyewe hajaangaika na mitanzania yeye ameamua kuwa alert watu wa nchi yake ambapo kimsingi ni jukumu lake la kwanza. Hapa serikali imefanya utopolo mtupu. Mimi namuunga mkono balozi maana kwa hilo tangazo lake na mimi naponea humo humo kwa kuendelea kuchukua tahadhari. Acha wanaoficha maradhi waendelee hivyo hivyo.
Mnaomba misaada ya kupambana na Corona huku mnasema mumeifuta! 👋👋👋👋👋👋
Utaanzia wapi?Ili nipate Phd fake kama zile za Chato?
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Katibu Mkuu ameeleza masikitiko yake kutokana na namna ambavyo Ubalozi huo umekuwa ukitoa taarifa mbalimbali za ushauri wa kiusafiri (travel advisory) zinazoandikwa na kusambazwa na Ubalozi wa Marekani kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo suala la namna Tanzania inavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19.
Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa! - JamiiForums
Ahahahahahahaha! Sawa mkuu!Swali gumu hili usimuulize tena[emoji3]
Safi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Mkuu we huwaoni?MATAGA bwana. Ushakula ugali umeshib unajifananisha na Marekani