.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.