Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wapenzi waki gombana usitie neno mana lazma warudiane tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thats y i always love you
.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.
sa hizo samani kaenda nazo wapi hotelini ama.......
Umeongea point mkuu hadi nakuogopa, wengi wanamponda sana florah, wanasahau kuwa florah sio chizi wala mwendawazimu anajua anachokifanya
Mie bado nipo kwenye maombolezo ya picha ya mama wema, yani nimeiona leo nimelia kiama, kutwa nzima
Umeongea point mkuu hadi nakuogopa, wengi wanamponda sana florah, wanasahau kuwa florah sio chizi wala mwendawazimu anajua anachokifanya
Mie bado nipo kwenye maombolezo ya picha ya mama wema, yani nimeiona leo nimelia kiama, kutwa nzima
Warumi umeanza, yule mama mwacheni atakufa siku si zake maana mwanae amemuingiza chaka. Wakati mwingine kuzaa sio kupata ni kuondoa maradhi.