Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Kuna wanawake wana tamaa sana na wamekosa ubinadamu, njaa kitu kibaya sana hadi shuka kalamba hakuacha kitu, kapeti, vikombe n.k.

Mwanamke wa hivi anaweza kukuua ili azulumu mali, na ndio mana wanawake wa hivi hawakawii kusema tumechuma wote kwa njaa zao.

Ndio mana wakikutana na wale ambao wana maamuzi ya haraka wanaishia kumiminiwa risasi.

Ogopa jamaa wa hivi nampenda Flora, nampenda Flora. Huyu jamaa ana yake ya moyoni sema anatumia busara sana kwa waandishi wa habari na kwa uma kwa ujumla
 
Umeongea point mkuu hadi nakuogopa, wengi wanamponda sana florah, wanasahau kuwa florah sio chizi wala mwendawazimu anajua anachokifanya

Mie bado nipo kwenye maombolezo ya picha ya mama wema, yani nimeiona leo nimelia kiama, kutwa nzima

Naomba unitumie na miye
 
Pole sana kaka,dunia haina huruma,omba Mungu akusaidie ushinde kesi yako,uanze maisha mkeo hana mpango na wewe lkn pia amechafua taswira ya waimbaji wa nyimbo za injili.
 

Mkuu hapo kinachofuata ni nyumba inauzwa kimyakimya tu,, anakuja kutolewa ndani na mtu tofauti.. Mwanamke ni mtamu sana tu,, lakini anaweza kuwa mchungu zaid ya shubiri ukimboa akasema imetosha
 
Duuuh! Njaa mbaya na hasa ukizoea kulelewa na Mwanamke. Emma kakosa uelekeo anamtegemea Flora 100%
 
Mkuu hapo kinachofuata ni nyumba inauzwa kimyakimya tu,, anakuja kutolewa ndani na mtu tofauti.. Mwanamke ni mtamu sana tu,, lakini anaweza kuwa mchungu zaid ya shubiri ukimboa akasema imetosha

haha atakuja kushtuka anatolewa tu mkuku kwenye nyumba
 
Huyu Dem nae utashangaa anaendelea kuimba nyimbo za Gospel !

My Take
she have to pick Taarabu as her First priority !
 
'When a woman is fed uuup, there's nothin u can do bout it'...in R.Kelly voice

Kweli mi naelewa Frola anachokifanya na amedhamiria na nadhani alijiandaa hajakurupuka.
 

Tatizo mwanaume aliishi kwa kumtegemea Frola kwa hiyo amechukua akijua ni vyake, kwanza katumia hekima kumwacha bado anaishi hapo ,sema Mbasha hana hekima na maamuzi huyo mwanamke amempa message tu kuwa hatoke humo ndani hana chake. Mali ya mwanaume ni ya wote lakini cha mwanamke ni chake.
 
Hapo sasa nimekuelewa mkuu asante sana kwa maelezo yako, kumbe Mama ndiye mwenye mali! Mimi nilijua mali za mzee mwanamke ameamua kuleta tamaa
 
Mwacheni tu ila ajue kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!!! Sijui ataimba tena huyu mama????


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Aimbe nini tena wakati kilichokuwa kinamfanya aimbe amekipata. Mwache atafune Mali zikiisha atarudi tena home. Chezea wewe hebu niambie waimbaji wangapi wa injili hapa Bongo hata nje wanawaume?. Hata mch .......... ni mseja tuu kuvaaa mapete ka mtabiri wa nyota.
 
Huyu Dem nae utashangaa anaendelea kuimba nyimbo za Gospel !

My Take
she have to pick Taarabu as her First priority !

Na watu watamkubali tu mbona watanzania ni wasahalifu sana
 
Hili jamaa jinga kweli, huyo mke ni mama yako.....kwani umekatwa mikono kwamba hutapata hivyo vitu.....mwanamke sio ndugu yako mbasha get it into your brainless head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…