Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Huyu mbasha kuna kitu kikubwa kamtenda flora anamkomoa.ata hii ya kubaka perhaps katengenezewa tuu akili zimsogee.mwanamke hawez kukurupuka tuu kumuumbua mumewe hvyo.saizi yake
 
Jmn hii ss kali.jamaa kaumbuk mbaya wanaume ss ndo mda wa kutia nywel maji mana.....sura ht mbuzi anayo ukileta ujinga mbna hta pumbu zitaanikwa kwny kamba...yaaan kwl mwanamke akikasirika vitendo vya mbogo vinahusika
 
Ye mwenyewe kasuka huo mpango wa kumpeleka mumewe police halafu aende kumuona., sababu Frola alikuwa anao uwezo wa kuzuia kesi isifike police

Ndo apo nimeona kuwa flora naye anamatatizo... usilipe baya kwa baya kama alidai kamsamehe mumewe basi angeendeleza hizo huduma za keko huku akisubiri hukumu iishe... kama alimsamehe kweli yann asisahau.
 
Mwacheni tu ila ajue kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!!! Sijui ataimba tena huyu mama????

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ni kwamba huyu mama nahisi na mbasha watakuwa kwenye secret society, na kama mdau mmoja aliwahi kuanika hapa kuwa emma alikeuka masharti na ndipo matatizo yalianza. Maana yake Flora hajakiuka mashart ndiyo maana kaambiwa amtenge mume wake kwa kuachana naye ili anusuru uanachama wake na maisha yenye kuwa na hela! Kwa mtizamo tu inawezekana emma akafungwa maisha au wakamuua. Na kwa upande mwingine emma atakuwa na siri nzito ndiyo maana hizo msg za vitisho zinatumwa. Na iko siku atakuja kufunguka kwa jinsi walivyoupata huo utajiri wa haraka haraka.
 
Kamtoa Flora kivipi? ye amfanyie mwanamke connection halafu yeye abaki kuwa marioo!!! kwanini hakujifanyia yeye kama ana akili? Yeye alifanya makosa kukaa bila kufanya kazi na kumtegemea mwanamke. Wanawake wenyewe siku hizi hawataki kuwa kula kulala sembuse mwanaume ndio matokeo yake hayo mwanamke anakuaibisha atakavyo maana mwanamke akikuchoka utalijua jiji.
 
Ye mwenyewe kasuka huo mpango wa kumpeleka mumewe police halafu aende kumuona., sababu Frola alikuwa anao uwezo wa kuzuia kesi isifike police

nashangaa kesi ilikuwa mikononi mwa florah, uwezo wa kesi kutokufika mahakamani na kufika mahakani ulikuwa mikononi mwake, yeye ndo mdogo wa aliyefanyiwa hilo tukio, so angeamua mkingia kifua mumeo amuondoe kwenye hii fedheha angeweza, yaan sijui kwa hili li florah hadi leo bado linaishi, yani unalimwagia risasi mwili mzima manina zake
 
Huyu mbasha kuna kitu kikubwa kamtenda flora anamkomoa.ata hii ya kubaka perhaps katengenezewa tuu akili zimsogee.mwanamke hawez kukurupuka tuu kumuumbua mumewe hvyo.saizi yake

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume ata huko Utahudi. Suala la mwanaume kutembea nje ya ndoa ni uzembe wa mwanamke.

Mwanamke mwenye busara hawezi acha mumewe kwa kutia nje ya ndia
 
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume ata huko Utahudi. Suala la mwanaume kutembea nje ya ndoa ni uzembe wa mwanamke.

Mwanamke mwenye busara hawezi acha mumewe kwa kutia nje ya ndia

Sa kama uzembe wa mke mbasha anahaha kumlamba miguu flora ya nini?si aendelee tuu kutunisha kifua kama dume kweli analialia kwwnye media nini?
 
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume ata huko Utahudi. Suala la mwanaume kutembea nje ya ndoa ni uzembe wa mwanamke.

Mwanamke mwenye busara hawezi acha mumewe kwa kutia nje ya ndia

Hakuna kitu kama hicho, mwanamme kutoka nje ya ndoa ni uzembe wa mwanamke ni umalaya/uziinzi tu, na mwanamke akitoka je? ni uzembe wa mwanaume?
Wanaume ni wazinzi sawa lakini lazima mwanaume ufanye uzinzi wako kwa staha, sio kutongoza hadi wasichana ndani ya familia. Mwanaume akafanye uzinzi wake nje ya familia sio ndani japokuwa inabakia kuwa ni dhambi lakini inaimarisha heshima ndani ya familia.
 
Umenitoa machoz Kwa kucheka uwii..samaki wamefkaje hapa jamani bora wewe unawaza kusaka pesa bwana ntakutafta maana tumekazila tuu kujadili mbasha na mkewe ngja wapatane yatushuke.
 
Wanawake siyo watu isipokuwa mama yako mzazi!
 
Aiseee hili swala gumu sn!

Pole sn Ndugu Emma! Mkabizi Mungu yote!
 
Hili jamaa nalemyewe halina akili,toka lin mwanaume ukawa mtu wa kilia kila hvo kwenye media, ndo maaanaa anagongewa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…