BIG RESULTS NOW
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 673
- 36
Ha ha ha ha....And you don't deserve an applause for judging people wrong....jibu hoja ukishindwa basi piga kimya sio kutetea ujinga hapa.
Humu Jamiiforum Hakuna Hakimu, Aende Polisi Au AFUNGE MDOMO AMWOMBE MUNGU
am glad ur here love
endelea na ujinga wako, sitaki kukwazika
Penzi la ViagraNi penzi gani hilo Gwajima kampa Flora mpaka kamchanganya kiasi hicho....???
Ngoja nilale...Kesho nitarudi hapa na kule kwenye ule uzi wa The bold
Hebu msikilize mume wa Flora Mbasha akielezea masikitiko yake kuhusu kukombewa kila kitu nyumbani kwake, Tabata! Flora hakumuachia hata nguo ya kubadilisha--kamuacha kama mtoto yatima au kama kinda la ndege lisilokuwa na msaada kutoka kokote!
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA - YouTube
Mungu awasaidie maana huku ni kukwama. Shetani anajua akivuruga ndoa anakuwa amekamata watu wengi. Na jamii inaharibika.
Huyu Emmanuel mbasha alimuoa akiwa na miaka 22, je flora alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho. Mmmmmh inaonekana basi flora alikuwa mtoto sana na labda anajutia maamuzi yake ya kipindi hicho. Nafikiri watu tunachukulia hii ishu juu juu tu, lakini inawezekana matatizo yameanzia mbali sana miaka na miaka. Kwa jinsi Flora anavyofanya hii kitu ni ya miaka mingi sana. Ila i wish niujue kwanza umri wa flora ili nijue aliolewa akiwa na miaka mingapi.
By the way kuna ulokole wa kurithi kwa wazazi baba na mama na pia kuna ulokole wa kurithi kwa YESU KRISTO MNAZARETI, hapa tatizo kubwa ni ulokole wa kurithi kwa baba na mama ndio tatizo kubwa walilonalo hawa wapendwa.
Unagegedwa leo....kimya,kesho kimyaaa...keshokutwa tena baada ya sala...kimyaaakisho oooh kanibaka!tuwe na ustaarabu wa kugegedwa na kugegedana...!kabla hajajibu tuhuma tunaomba ututhibitushie alikubaka kweli?. ...kama ni kweli alikubaka mara ngapi??.... kama alikubaka zaidi ya mara 1 kwanini hukutoa taarifa polisi mara ya kwanza ukaenda kuripoti baada ya kubakwa zaidi ya mara3?...... na mbona kuna taarifa kwamba ulitoa ushirikiano wa miguno na mauno wakati unagegedwa?......na mwisho thibitisha unamiaka 17 au 19??
Unagegedwa leo....kimya,kesho kimyaaa...keshokutwa tena baada ya sala...kimyaaakisho oooh kanibaka!tuwe na ustaarabu wa kugegedwa na kugegedana...!
Dah huyo flora mbasha kawazidi..mbona anaroho mbaya sana..shida ni nini..
ataleta visingizio ving tu ila ajibu tuhuma za kubaka