Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Humu Jamiiforum Hakuna Hakimu, Aende Polisi Au AFUNGE MDOMO AMWOMBE MUNGU

JF is a place where we dare to talk openly...Kushuka kwa heshima ya FLORA na Mzinifu GWAJMA ni adhabu tosha kwao. mbasha is so intelligent na MUNGU ATAMPIGANIA TU
 
Huyu Emmanuel mbasha alimuoa akiwa na miaka 22, je flora alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho. Mmmmmh inaonekana basi flora alikuwa mtoto sana na labda anajutia maamuzi yake ya kipindi hicho. Nafikiri watu tunachukulia hii ishu juu juu tu, lakini inawezekana matatizo yameanzia mbali sana miaka na miaka. Kwa jinsi Flora anavyofanya hii kitu ni ya miaka mingi sana. Ila i wish niujue kwanza umri wa flora ili nijue aliolewa akiwa na miaka mingapi.

By the way kuna ulokole wa kurithi kwa wazazi baba na mama na pia kuna ulokole wa kurithi kwa YESU KRISTO MNAZARETI, hapa tatizo kubwa ni ulokole wa kurithi kwa baba na mama ndio tatizo kubwa walilonalo hawa wapendwa.
 
Hebu msikilize mume wa Flora Mbasha akielezea masikitiko yake kuhusu kukombewa kila kitu nyumbani kwake, Tabata! Flora hakumuachia hata nguo ya kubadilisha--kamuacha kama mtoto yatima au kama kinda la ndege lisilokuwa na msaada kutoka kokote!

INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA - YouTube

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako mimi nilishasema asilimia 99.9 ya walokole ni wanafiki na nikikaa nao mtaa mmoja nauza nyumba sitaki hata kuwaona hata mbasha mwenyewe anakosea mambo ya ndani anaanika kwenye media vip huyo dogo hajafundwa kwao au ndiyo matokeo ya ndoa za fb. na bado akinyimwa unyumba atafanya press release.
 
Mungu awasaidie maana huku ni kukwama. Shetani anajua akivuruga ndoa anakuwa amekamata watu wengi. Na jamii inaharibika.

Shetani muna msingizia mengi tu kwa kuwa hajibu....kuna siku atawakana "hawa ndo mashetni kunizidi mimi!".....tukubali mapungufu sio kila kitu shetani hata km sisi ndo tunakosea....?neno samahani,pole,nimekosea ni magumu kwetu kutamka na ndoa zikadumu?????
 
Huyu Emmanuel mbasha alimuoa akiwa na miaka 22, je flora alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho. Mmmmmh inaonekana basi flora alikuwa mtoto sana na labda anajutia maamuzi yake ya kipindi hicho. Nafikiri watu tunachukulia hii ishu juu juu tu, lakini inawezekana matatizo yameanzia mbali sana miaka na miaka. Kwa jinsi Flora anavyofanya hii kitu ni ya miaka mingi sana. Ila i wish niujue kwanza umri wa flora ili nijue aliolewa akiwa na miaka mingapi.

By the way kuna ulokole wa kurithi kwa wazazi baba na mama na pia kuna ulokole wa kurithi kwa YESU KRISTO MNAZARETI, hapa tatizo kubwa ni ulokole wa kurithi kwa baba na mama ndio tatizo kubwa walilonalo hawa wapendwa.

Tatizo hapa ni unafiki tu siyo ulokole wa Yesu au wa baba wengi wanaishi maisha ya kuidanganya jamii kwamba ni watakatifu kwa mgongo wa dini zao hapo Mungu kaamua kutuonyesha sehemu kidogo tu ya makundi ya wanafiki ambao ni wengi sana ila hawafanyi press release kwa kuogopa aibu wengi wanaishi kwa mateso makali sana na ndiyo maana wengi wanalia wakikumbuka kasheshe za nyumbani kwao wanapokuwa kwenye majumba yanayowakusanya pamoja sijui yanaitwaje nisaidieni
 
Hivi flora n demu wa kabla gan hao wasio faa kuolewa??
 
kabla hajajibu tuhuma tunaomba ututhibitushie alikubaka kweli?. ...kama ni kweli alikubaka mara ngapi??.... kama alikubaka zaidi ya mara 1 kwanini hukutoa taarifa polisi mara ya kwanza ukaenda kuripoti baada ya kubakwa zaidi ya mara3?...... na mbona kuna taarifa kwamba ulitoa ushirikiano wa miguno na mauno wakati unagegedwa?......na mwisho thibitisha unamiaka 17 au 19??
Unagegedwa leo....kimya,kesho kimyaaa...keshokutwa tena baada ya sala...kimyaaakisho oooh kanibaka!tuwe na ustaarabu wa kugegedwa na kugegedana...!
 
Unagegedwa leo....kimya,kesho kimyaaa...keshokutwa tena baada ya sala...kimyaaakisho oooh kanibaka!tuwe na ustaarabu wa kugegedwa na kugegedana...!

Si ndio hapo mkuu.....ni sawa na mtu uwe na kademu kako ambako unakagonga miaka nenda miaka rudi then siku ya siku kanajifanya umekabaka all of a sudden...!!! Pambaf
 
Japokuwa Mbasha anasema anampenda huyo Mke wao ambaye sasa ameolewa kienyeji enyeji na wengine,namshauri Mbasha Hilo Neno Kuwa nampenda mke wangu aliweke Pending kwanza hadi Mke amalize kiu zake huko Mafichoni kwanza ndipo mbasha atumie Hilo neno Maana kwa sasa Frola hampendi tena Mbasha kitendo cha kumtengenezea Kesi ni dalili tosha Kuwa Upendo ulikufa kitambo, Hivi sasa Frola anasubili Mbasha afungwe ili ajimilikishe kila kitu kisha kujilusha na wake wa rohoni aliyemchagua sasa.
 
Mbasha tulia tafakari kwa Kiiina usikurupuke kumng'ang'ania Mwanamke Shetani asiyekumbuka mlipotokea huko Aliko Mungu atamchapa viboko ipo siku atarejea mwenyewe.
 
Flora aliolewa na alijiita mlokole kutafta pesa.....then kamapata wa kugawa pesa sioni sababu ya yeye kuendelea na ulokole na ndoa.........mission completed
 
Back
Top Bottom