Sa 100kajidai Ku host upatanishi ona sasa namna anaonekana Hana maana zaidi ya kupoteza muda bure . Mambo ya nchi yanamshinda, Yale ya Rwanda atayaweza?Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
😂 Kama vile Ile kauli ya mbona unani command...Ukisikia kujiamini ndio huko sasa. Hataki kupelekeshwa
Mbona kwenye kikao hakusema hivyoBaada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Mshamba tuBaada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Sana tu,mbali kwa umaskini na ujingaHuyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Angeyatolea mkutanoniMajibu ya kiume
Hata akiwa hapo kijijini Rwanda anapangiwa vizuri tu,ye ni panya tu kama mapanya wengineKumpangia nini?hakuna wa kumpangia labda akiwa Rwanda ila akitoka nje ya Rwanda ni PAKA kama paka wengine
For sureMambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
Ndo anayepigia mikwara ovyo watu?
Mbona linapelekeshwa tuUkisikia kujiamini ndio huko sasa. Hataki kupelekeshwa
Sio kwa tzmwisho afrika mashariki yote itachapwa na Kagame.
Umenena vema mkuu. Sasa kama ndivyo, hakuna haja ya kuwabembeleza m23. JWTZ wapelekwe kwa wingi kama alivyofanya JK. na baada ya ushindi wasalie huko kwa miaka mingi hadi kutulie kabisa.Congo ni mteja wetu mkubwa bila ya congo banadari yetu itayumba, huwezi kupeleka mizigo kama kuna vita, na ukirihusu hwa waasi wawe na nguvu kupambana na jeshi la serikali ina maana hata wewe hapa nchini kwako wanaweza kuja kukuvamia na kusema geita ni mali yao wakaanza kukusumbua hawa waasi sio wa kuchekewa
Kweli mkuu.Sana tu,mbali kwa umaskini na ujinga
Huo ndio uhalisia jk alikuwa sahihi kuwamaliza hadi kagame akawa anabweka , kuwachekea hawa ni kudumaza uchumi wetu na kufanya waasi waone kumbe inawezekana kupora mali na ardhi, its a very bad precedent inawekwaUmenena vema mkuu. Sasa kama ndivyo, hakuna haja ya kuwabembeleza m23. JWTZ wapelekwe kwa wingi kama alivyofanya JK. na baada ya ushindi wasalie huko kwa miaka mingi hadi kutulie kabisa.
Kagame amekuzwa na wajinga, kuliko uhalisia wake.Sio kwa tz