kwahiyo anaeumia ni huyo rais au raia wenzetu wa DRC ? leo DRC kesho Tanganyika , na watatumia kauli hiyo hiyo , tulitawaliwa kwa akili kama hz leo bado tunazitukuza UBINAFSIMambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
kwann wahutu waliwaua watutsi ? je nan alianza mshambulia mwenzie Mhutu au Mtutsi ? je watutsi walishindaj vita bila kuwaua wahutu ? je kwann tunaambiwa kuwa wahutu ndio waliua watutsi halaf mshindi akawa Mtutsi , watutsi wanacheza na akili zetu sana na wajinga kama ww ndo mnashikwa akili, Nan alimuua Habyamara ? je wahutu waliwai washambulia watutsi kabla ya kifo cha Habyamara ?Chanzo cha mgogoro ni hawa Intarahamwe waliokimbilia DRCongo na sasa wanataka kuipindua serikali ya Kagame. Soma hi ripoti ya Human Right Watch hapa chini:
In 1994 the Rwandan government, dominant parts of its army (Forces Armées Rwandaises, FAR), and members of the Interahamwe7 militia directed a genocide against the Tutsi of Rwanda which took more than half a million lives. After being defeated by the Rwandan Patriotic Army (RPA), the military force of the Rwandan Patriotic Front (RPF), the government responsible for the genocide then led more than a million Hutu into exile in Congo, then Zaire, where civilian refugees and the military together established themselves in camps along the border. Under the direction of the defeated political and military leaders, soldiers and militia reorganized and rearmed within the refugee population, preparing for new attacks on Rwanda. Although such military activity was prohibited by international convention, neither U.N. agencies nor the larger international community intervened to halt the preparations.8
THE WAR WITHIN THE WAR
na kisingizio chake ni INTERAHAMWETatizo viongozi wa afrika asilimia kubwa wanatawala kigaidigaidi hakuna mwenye usafi wa kuweza kumukemea mwenzake akili zao wamewekeza kwa wazungu,kama Trump hataingilia kati kumshughurikia Kagame atawapelekesha sana,na bila Kagame kudhibitiwa baada ya kumalizana na Kongo utasikia anaichapa Burundi,mwisho afrika mashariki yote itachapwa na Kagame.
Hapo mashariki ya DRC palikuwa na jamii mchanganyiko yaan jamii zenye asili ya Rwanda ( wahutu , watutsi na watwaa ) pamoja na wenye asili za DRC , kwann wengine wote hawana shida na serikali ya DRC ila ni jamii moja tu ya watutsi na sio wahutu au watwaa ambao wote ni wanyarwanda ?Unauhakika hao ni waasi kweli, au wanalinda ardhi yao isiporwe na wanyang'anyi
Ujamalizia ... .. paka kama paka shume..........mbona hakujibu hivyo alivyokuwa hapa haone kama Rwanda hangerudi tenaKumpangia nini?hakuna wa kumpangia labda akiwa Rwanda ila akitoka nje ya Rwanda ni PAKA kama paka wengine
Tuko pamoja mkuu. Kero yangu, ni pale hao wakuu wa jumuiya mbili EAC, SADC sijui kutokuwa na maamuzi stahiki. Kwani ujio wao DAR umebadilisha nini? adui amejulikana kwamba ni kagame. Kwanini wasipeleke majeshi ya kutosha na kuwafyeka hao aliowafyeka jk?kwahiyo anaeumia ni huyo rais au raia wenzetu wa DRC ? leo DRC kesho Tanganyika , na watatumia kauli hiyo hiyo , tulitawaliwa kwa akili kama hz leo bado tunazitukuza UBINAFSI
Tusubirie Ramani mpya ya Rwanda na DRC.Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Yuko sahihi kabisa kwa kiasi kikubwa.Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Huyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Hataki upuuzi kwenye masuala haya ya Usalama.Majibu ya kiume
Sasa waende wp pamoja na hizo shida zao walizonazo nazo? kama unakili na wenyewe watusi ni sehemu ya jamii iliyokuwepo hapo kwa nn waondolewe sehemu yao ya asili?Hapo mashariki ya DRC palikuwa na jamii mchanganyiko yaan jamii zenye asili ya Rwanda ( wahutu , watutsi na watwaa ) pamoja na wenye asili za DRC , kwann wengine wote hawana shida na serikali ya DRC ila ni jamii moja tu ya watutsi na sio wahutu au watwaa ambao wote ni wanyarwanda ?
Kama umewai ishi na watutsi bas huez shangaa kwann wanapigwa vita , hao watu ni wabinafsi sana na wanapenda kupewa special care
😀😅nilisahau kumaliziaUjamalizia ... .. paka kama paka shume..........mbona hakujibu hivyo alivyokuwa hapa haone kama Rwanda hangerudi tena
Kawaona mazuzu,huyo inatakiwa kichapo hadi nchini kwakeBaada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
You mean yeye anapanigwa na nani au yeye anapanga kwa ajili ya mwingine nani?Kwani yeye anampangia nani
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Ila yeye anawapangia wengine si ndio?....anaingiza majeshi yake kwenye nchi nyingine na kuendesha shughuli za kijeshi kimabavu, ..bahati yake amevamia nchi ambayo ni collapse state, rais wake ni dhaifu yani sijawahi ona rais mtepetevu kama tshekedi amebaki kufuga tumbo na mashavu kama anapuliza moto ikulu huku raia alioapa kuwalinda wakiuwawa na adui anaemfaham.Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Kijamaa hakijui kingine chochote zaidi ya kuua tu hapo unaweza kuta wenzake wanaogopa kwenda kumkaba maana unaweza kufanya hivyo kesho watu wakakukuta mortuary.