Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Msukuma umemsahau, Billionea wa biashara ya mbuzi kawekeza Geita, Biharamulo na Kakonko Kigoma.
 
Mkuu nilitaka kushangaa kesi ya rufani imeisha haraka hivyo. Kesi zikiendaga mahaka ya rufaa hadi hukumu kutoka subiri miaka mingine mitatu na zaidi.
Mahakama ilishatoa hukumu na Tigo kupewa tuzo ya ushindi

AY alishakuja kukutana na MwanaFA na Albert Msando ili wafanye namna ya kurejesha mpunga wa Tigo!
 
Lakini ukae ukijua kua ile bilikanas aliovunja mwenda wazimu wa kuzimu,ilikuwepo tangu na tangu.
Kwa vile ilikuwepo tangu na tangu ndo mnaemwita tajiri afanyie biashara zake pale bila kulipa kodi? Kweli bora uwe mgonjwa wa mwili kuliko kuwa mgonjwa wa akili.
 
Ukishakuwa masikini wa kurithi haya masuala huwezi kuelewa , hivi unafahamu kwa Mbowe anayo mahotel hata nje ya nchi ?

πŸ˜‚ ivi uko timam wewe? kua na hoteli nje ya nchi ndo kua billionea? ndo maaana nkakuuliza ni billionea wa tsh ama ligi ya mo dewji, maaana mpaka tunaongelea apa saaahv mo dewji ndo tajiri wa kwanza na bilionea pekee afrika masharika na kati, na pia ujue rostam sio billionea ni millionaire! yaani ukitaka kua na status ya billionea maaana yake una networth ya kuanzia trillion 2 za kitanzania, sasa wewe umeona kua na hoteli nje ndo amefika trillion 2? ivi hio ofisi yenu apo ufipa hua mnajadili nn haswa?
 
Ukishakuwa masikini wa kurithi haya masuala huwezi kuelewa , hivi unafahamu kwa Mbowe anayo mahotel hata nje ya nchi ?

kwa maneno machache status ya billionea ni kama hii apa

- huyu ana makampuni zaidi ya 100 nje ya nchi, na ndan ya nchi ndo hayahesabiki, anatoa ajira kwa watu zaidi ya 20,000 wote wanakaa ofisini wanapokea mshahara kila mwezi kutoka kwake, ni tafauti na huyo anaefanya biashara ya ruzuku
 
huyu dogo amevurugwa, cha ajab anamuweka kwenye ligi ya mo dewji, nashindwa kuelewa ili kukidhi vigezo vya kujiunga chadema unatakiwa upate elimu ya aina gan
Itakuwa moja kati ya promo wa Mwenyekiti wa kudumu daima milele.. Mh Mbowe
 
Ukishakuwa masikini wa kurithi haya masuala huwezi kuelewa , hivi unafahamu kwa Mbowe anayo mahotel hata nje ya nchi ?

jamaa mwenyewe kaletewa kodi ya mil 50 kahama nchi πŸ˜‚ πŸ˜‚ , ela ambayo hata mm nalipa
 
Wewe tahira nyamaza. Mbowe kazaliwa familia ya kitajiri sio kama huko kwenu mnalogana ndo mpate pesa.
 
Nachukua nafasi hii kuachana na wewe na kukudharau moja kwa moja katika kipindi chako chote kifupi kilchosalia hapa duniani .

Bali kwa faida yako na wengine jitahidi kujua Mbowe ni nani , hiki ndicho kilichomshinda Magufuli , alidhani kumfungia akaunti za kibwege za mabenki ya ndani angemmaliza matokeo yake kaisha yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…