Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

ongeza na hili......

serikali isingeingilia hii biashara wangepata faida kiasi gani kupitia tozo mbalimbali?.........

mind you, purukushani zote zilizofanywa na serikali zimetumia hela nyingi sana! kuanzia uhakiki, usafiri,walipaji n.k n.k
 
NB: I was really tempted to bay that B-word at the end, But I thought, nah!
 
Boss, kuna gharama za uhakiki, gharama za usafiri (last time nilisikia magari ya jeshi yangetumika kuzisomba), gharama za uhifadhi, depreciation, ushuru plus plus plus... Unaweza kuta serikali ndo imeingiliwa
ukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........

technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......

ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
 
Huwez fananisha akili za wakenya na magufl hebu usitetee ujinga wao wako siku mbili mbele kwa kuwaza. Mm ni mtanzania lakini kwa usmart wa akili za uchumi na fursa wakenya wametyzidi hasa huyu magu kaizidiwa sana
 
Wewe ni limbukeni..Ulitaka Tz ijenge viwanda ndani ya miezi miwili? Korosho ikishambaguliwa inapoteza shelflife (inaharibika haraka)
Lazima kuwe na longterm & shorterm solutions..na bidhaa nyingine ni bora uuze zikiwa unprocessed sababu ya kuharibika.
Ukikurupuka usiage mahindi yote TZ iwe unga eti unaongeza value itakubidi uuze hizo tani zote chini ya 60 days ama ungie hasara
 
Kwahivyo korosho zilidondoka kutoka mbinguni kama manna? Kisha mkaziokota na kuanza kuzitafutia soko? Msimu wa kuvuna tena utakapofika wavunja matofali bado watakuwa na kibarua kigumu cha kubangua. Yetu macho.
 
Kwani mahindi ambayo kenya imevuna kwa wingi msimu ya mwaka jana yametoka mbinguni?
Wakulima wanapewa bei ya dharau -ksh 1700 na serikali na bado NCPB imekataa kuchua mali..
Usilete ukanjanja hapa, kenya kuna shida mingi za wakulima kuliko TZ
 
Ukisikia biashara kichaa ndio hii, Kenya ni producer wa Korosho kama sisi, na Korosho zake sio quality kama za kwetu, kitendo cha kuongeza tani 100,000 alizonunua kwetu kitaifanya Kenya itupite hata sisi katika uzalishaji kwani itaonesha ka export zaidi kuliko sisi. Kenya na yeye anataka korosho ili akauze nje kwa faida kubwa hasa bara la marekani na Ulaya ambako ndiko kwenye soko kubwa, ukiachia India ambao wao nao wananunua kwa ajili ya Export ya Cashew Kernel.

Kwa kweli bado sijaona mantiki ya sisi kuwauzia kenya halafu wao wapate faida kuliko sisi. Hapa tumefanya biashara kichaa kabisa.

WAZIRI WA SHERIA ANAUZA KOROSHO, WAKATI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA YUPO, BODI YA MAZAO IPO, KUNA ELEMENT YA KUTOAMINIANA AU? HAMUONI TATIZO HAPO??????
 
Hawezi kuwa matured huyo mbulula. Sahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mahindi ambayo kenya imevuna kwa wingi msimu ya mwaka jana yametoka mbinguni?
Wakulima wanapewa bei ya dharau -ksh 1700 na serikali na bado NCPB imekataa kuchua mali..
Usilete ukanjanja hapa, kenya kuna shida mingi za wakulima kuliko TZ
Usijali, mwaka ujao tutatatua shida za wakulima kwa kutumia KDF kuvuna mahindi.
 
Wewe ndio punguani sana, ulitaka tusiuze mazao yetu kabisa, au tatizo ni hilo kampuni la Kenya kununua hizo korosho?, hivi unajua ni bidhaa ngapi za viwandani za Tanzania zinazovuka na kwenda Kenya, kuanzia Azam products, Mo products, Bia, mabati na nyinginezo, mbona husemi watanzania are intelligent?, punguza uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwendo wa mauzo kwa dollar! Uzuri ni kwamba Serikali ya JPM itakuwa kwenye nafasi ya kujua kodi stahiki inayopaswa kuipata baada ya hili zoezi!
 
Mtusamehe bure, yalikua maamuzi ya jiwe siyo ya watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........

technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......

ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
Kweli tz tume pata hasara ya korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…