Hebu uache ujinga kampuni ya kenye haifanyi processing yoyote ila inafanya udalali tuNa kwani LDC haina kampuni inayoweza kununua hizi korosho na kufanya processing?
Kama sio Kenya mngekuwa wapi?
Acha uboya humna processing inayofanyika kenyaKwa hivyo kazi yenu ni ukulima, alafu mnazituma Kenya kufanyiwa processing?
Kweli Tanzania ya viwonder.
Produce yetu is more than 5000000tones.Produce yenu ni 270,000 tonnes.
Yote huuzwa nje.
Kampuni ya Kenya ina uwezo tu wa kununua 100,000 tonnes. Kwa hivyo hivi karibuni ngoja habari ingine kwamba kampuni ingine imenunua.
Acha nikupe ufafanuzi, 'typing error'. Usipanick jombaa nimesharekebisha.Unaposema "TShs 3,300 kwa kila tani" una maanisha nini ? Una maanisha hii Tani moja ambayo ni sawa na kilo 1000 au siku hizi kuna ulingano mpya kati ya tani na kilo? Yaani tani moja ni sawa na kilo moja ? Ufafanuzi tafadhali ...!
Wapigwe tu hakuna namna[emoji12]Jinga wewe, kwahiyo Magufuli aliamua kununua korosho baada ya makampuni kutoa bei kubwa kuliko iliyopangwa na serikali, kwa akili za namna yako mtaendelea kutandikwa na Alshabab kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
Kenyan firm to buy 100,000 tonnes of cashew
Tumeamua kudumisha ujirani mwema, kizuri kula na nduguyo.Tunanunua ila baada ya kukaushiwa kwa mikwara kwamba mtaenda wenyewe kutafuta soko nje, sasa hatimaye mumeachia tununue.
Nina ushahidi mkubwa kuna joint venture kati ya madalali wa ndani na huko Kenya kwenye hii deal, ujue Magufuli alipandwa na hasira sana kipindi kile alivyowaita wanunuzi wa ndani na kuongea nao na kukubaliana kwa kauli moja kwamba wanaenda kununua kwa bei elekezi matokeo yake hawakutimiza makubalianoTunanunua ila baada ya kukaushiwa kwa mikwara kwamba mtaenda wenyewe kutafuta soko nje, sasa hatimaye mumeachia tununue.
Wakenya hapa wamenishangaza kidogo sababu hapo wa kufurahia ni Tanzania, hiyo pesa ilitakiwa ibaki kwa wakulima wa korosho wa Kenya ndio inge make sense kwa wakenya lakini imewatoka na kuwanufaisha wakulima wa Tanzania na serikali yao, ni pesa nyingi sana ambayo nafikiri itapandisha margins za export value ya Tanzania to Kenya kwa horizons za juu sana kwa mwaka huu.A Kenyan company called "Indo"; when did black Kenyans become Indians? 😅😱
Jinga wewe, kwahiyo Magufuli aliamua kununua korosho baada ya makampuni kutoa bei kubwa kuliko iliyopangwa na serikali, kwa akili za namna yako mtaendelea kutandikwa na Alshabab kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli openly invited all traders inside and outside TZ to bid for the nuts and gave a deadline with a minimum 3,300 TZS any one who never submitted was locked out and the millitary took over. This after traders gave a mere TZS 1500 per kg that made farmers angry
Now the price is up and everyone wants to buy! At the end of the day, everyone wins, the farmer was rescured from a 1500 price and GOT gets to pay itself for the effort of collecting the nuts..
Genious!!
Tumeamua kudumisha ujirani mwema, kizuri kula na nduguyo.
Ndiye dereva tuliyenae akiamua twende bila lunch break sisi tunaufyata.Tatizo hampo consistent, mpo kama mke mjamzito, leo hivi kesho vile, mnaamua ujirani mwema leo, kesho mnakurupuka, maana kampuni yetu ilikua inanunua hizi hizi korosho hapo awali kabla hamjaibuka na maamuzi ya kushtukiza na kuanza kubangua wenyewe.
Tulieni, wakulima wenu watafaidi sana wakifanya ukulima biashara, unaoeleweka. Acheni kupenda kiki, visasi, ubabe wa peni mbili na siasa kwenye masuala simpo ya nipe nikupe.nyie wakenya jifunzeni kula na kipofu. msingekuwa ba vimaneno neno mngeifaido sana tz. ila mnachonga sana
mnajisifu sana hadi mtu wanaweza badili mawazo. hamumujui eehTulieni, wakulima wenu watafaidi sana wakifanya ukulima biashara, unaoeleweka. Acheni kupenda kiki, visasi, ubabe wa peni mbili na siasa kwenye masuala simpo ya nipe nikupe.
Hasara itakuwa ni kwa nani kama sio wakulima na watanzania kwa ujumla? Dah, hivi unadhani kama ni Kenya wakulima wangeketi kitako kama wanyonge kwa uoga wa miungu watu? Aisee, kweli hatufanani kabisa.mnajisifu sana hadi mtu wanaweza badili mawazo. hamumujui eeh