Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.

Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe.

Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.

=======

Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.

In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.

Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.

source: Aljazeera.
 
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Saudia akisema ndiyo inakuwa nini? Au ndiyo ile “sema usikike?”
 
Sisi sote huwa tunawaona Saudia kama viongozi wetu.Wakikaa kimya tunaumia sana na wakiamka wakasema tunajuwa tunasonga mbele.
Hata Israel inalijuwa hilo.Hivyo kama Saudia wamesema kwa dhati na Israel nayo itatia akili kujua kinachofuata.
 
Saudia chawa kama chawa la marekani leo ndo linaamka. Heeeeeee nicheke kama vile mazuri.....
Uturuki ndo halieleweki liko upande gani
Usipuuze kila kitu na usiwadharau watu wote muda wote.
Uturuki ilisema itaingia Israel kuwatetea wapalestina,Iran inajiandaa kuipiga Israel na Saudia imehamaki na kusema vita sasa visimame.Wewe bado unaleta dharau na huoni hatari dunia inayoielekea bila kusimamishwa vita.
 
Bora hata ingesema Sudan Kusini ningejua imesema
Saudia hata wakikwambia mungu mmoja usiwaamini
Wanaweza wakawa wanamaanisha Yesu mungu
Hao wanafiq kama nini wapuuzi wakubwa hao
Ni kwamba tumekatishwa tamaa sana na ukimya wao muda uliopita,Lakini ikiwa imesema basi mabadiliko yatapatikana.
Saudia ina uwezo wa kutoa ukelele mmoja tu kwa ulimwengu wa kiislamu na ikasikika na wote.Ndio maana Marekani na Israel huwa wanainyemelea sana waweke watu wapuuzi wa kulinda kufru na unyama wao.
 
Waweke mara ngapi?
Nisuala ambalo lipo wazi kabisa kwamba kungekua na saudia imara basi wangekua wakikohoa tu israhell inapata mafua
Ila saudia hana lolote hata hilo alilolisema ni debe tupu
Kwani wao si ndio wanaowapelekea israhell mahitaji ambayo houthi wamezuia kupita sham nk
Juzi OIC wamekaa kikaao IRAN katoa wazo wamuekee israhell vikwazo vya mafuta saudia kakaa kimya
Saudia akisema yes si jordan kuwait misri qatar Bahrain jordan (GCC)lazma wafate
Saudia mnafiq usipumbazwe na maneno yake matupu
 
Shida Hamasi hawajulikani huenda walijificha hapo shuleni kweli maana wao hawajulikani wanafanya shambulio Kisha wanakimbilia kwa watu na kusema wameua askari wa Israel ila mwaka uliopita na huu Gaza haitasahau hii itaishi sana kizazi na kizazi itaishi sana
Maelfu ya familia mpya zitaanza zikiwa hazina yeyote zaidi ya huyo mmoja aliyepo
 
hapo ndipo shida nyingne inapo anzia
 
hapo ndipo shida nyingne inapo anzia
Sana na ndipo Israel anapochukulia point hadi mataifa makubwa yanashindwa kumtetea Hamas as wanajua kabisa shule misikiti hospital ndio military base zao
Ndio maana tangu vita inaanza huwezi ku spot military base ya hamas au askari wao kirahisi
Vita ikiwa Kali wanajichanganya na raia fasta
Myahudi nae anaona isiwe tabu chukueni wote hiyo kitu
 
Back
Top Bottom