Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Mauaji hayo ni Hali tupu ,

Maana oktoba saba mauaji yalifanyika Israel wapalestina na watoto wake walishangilia mchumba janga hula na WA kwao
 
Waarabu wanafiki sana Wenzao wanauwawa sana ila wanauzia Mafuta Israel na wanatumika kupeleka silaha huko wajinga sana kama sisi ngozi nyeusi tu....
 
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Almnafiquuun
 
Wasaudia huwa ni wanafki sana hata utume waoo alikuwa janja janja mno
 
Back
Top Bottom