Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Hao mazayuni wa saudia ni wanafik tu.
 
Sisi sote huwa tunawaona Saudia kama viongozi wetu.Wakikaa kimya tunaumia sana na wakiamka wakasema tunajuwa tunasonga mbele.
Hata Israel inalijuwa hilo.Hivyo kama Saudia wamesema kwa dhati na Israel nayo itatia akili kujua kinachofuata.
Ukitaka kujua unafiki wenu angalia CCM inavyotuumiza na hamsemi kitu ila ya watu mnayashadidia kweli
 
Sasa ieleweke na kukubalika kuwa amanu mkubali kuwa hamuwawezi Mazayuni.
Hivyo mbaki kuwaheshimu na kuacha kuwachokoza.
Na kumpuuza yule aliye waambia mgambane nao.

Kama Kuna shida ni bora mtumie njia ya mazungumzo.
Damu ya wasio na hatia imepotea nyingi sana.

Mtulie sasa na mjue Mungu ni wetu sote.
 
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Achilieni mateka wa kiyahudi lasivyo kipondo kitaendelea
 
Hawa wasaudia walikubali kuwekwa mfukoni na marekani kwa huyo hata wakisema hawana maajabu wanajifariji tu
 
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Kuna majamaa fulani huwa yanajazana ujinga kwamba Israel wanazidiwa nguvu na Hamas, baada ya muda mmoja wao anakwambia Israel anafanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
 
Saudia wasaidie kupatikana kwa mateka, Vita itaishia hapohapo, mnang'ang'ania watoto wa watu halafu eti hamtaki vita, huo ni unafiki
Unafiki mkubwa , na Israel hilo ndio limemtia hasira ikapelekea afanye genocide , wewe unataka aman na unalazimisha amani huku umeshikilia mateka wa nchi nyingine.
 
Wakati wewe ukiendelea kuwa mtazamaji na kuunga mkono magaidi hao wa kizayuni, sisi tuko upande wa wenye haki, na kuendelea kuwaombea dua inshaa Allah
Magaidi ni yale yaliyofanya mauaji ya raia wasiokua na hatia Oct 7.
 
Wakati wewe ukiendelea kuwa mtazamaji na kuunga mkono magaidi hao wa kizayuni, sisi tuko upande wa wenye haki, na kuendelea kuwaombea dua inshaa Allah
Dua hiyo haisawasaidii watoto wanaokufa, wapalestina wanataka amani na wana haki ya kuishi, amani yao ni kuondoa utawala wa hamasa wenye vinasaba vya ugaidi. Pale kinatakiwa chama ambacho hakifungamani na dini yoyote , hicho ndo kitawakomboa wapalestina, siyo hao hamas
 
Ni kwamba tumekatishwa tamaa sana na ukimya wao muda uliopita,Lakini ikiwa imesema basi mabadiliko yatapatikana.
Saudia ina uwezo wa kutoa ukelele mmoja tu kwa ulimwengu wa kiislamu na ikasikika na wote.Ndio maana Marekani na Israel huwa wanainyemelea sana waweke watu wapuuzi wa kulinda kufru na unyama wao.
Mkuu saudia wanazingua mnooo ila ipo siku utawala wao utabadilika ..ile familia ya kifalme ni vibaraka wa is wakubwa
 
Hata hapo mwanzo Hamas hawakushambulia kabla kuanza kwa Israel
Mkuu unamdanganya nani ili upate nini labda!

Embu tupe dondoo za kweli bila kuegemea upande ama kuacha udini, nini chanzo cha kuripuka kwa vita hii?
 
Hiyo dini inawaongopea sana sana.
Allah ni kamungu ka mchongo. Haiwezekani awachonganishe kila siku na anaye wazidi nguvu huku yeye anabaki kuapa apa na kumswalia mtume,
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

{Hivi hapa anaye apa ni Allah, Jibrili au Muhamadi ? 'anaye sema "sisi tunaweza" au waumini. Jibu ni Majini}
Haya hapa
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. "Nasi" tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

"Nasi" ni Majini ndio wanao apa pale juu.
Karibu Qurani nzima yanaongea Majini tu,

Akina "Nasi" ndio Hawa hapa.
Walio mtuma mtume.
وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن تَقُولَ الْإِنسُ وَالْجِنُّ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا
(AL - JINN - 5)
"Nasi" tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
(AL - JINN - 8)
"Nasi" tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
وَأَنَّا لَا نَدْرِي أَشَرٌّ أُرِيدَ بِمَن فِي الْأَرْضِ أَمْ أَرَادَ بِهِمْ رَبُّهُمْ رَشَدًا
(AL - JINN - 10)
"Nasi" hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu.
وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّهَ فِي الْأَرْضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَبًا
(AL - JINN - 12)
"Nasi" tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَبِّهِ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَهَقًا
(AL - JINN - 13)
"Nasi" tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.
'''''''''''''''''''
Fungueni akili, iacheni hiyo dini ya Majini, inayo wagombanisha na watu bila sababu. La kama mnaiamini acheni kulialia hovyo humu.
Enyi ndugu wa Majini

Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported.
God’s messenger as saying,

“Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinns.”😅😅😅😅

Aliwaingiza chaka na wala hamu mshtukii miaka yote hii.
 
Mkuu unamdanganya nani ili upate nini labda!

Embu tupe dondoo za kweli bila kuegemea upande ama kuacha udini, nini chanzo cha kuripuka kwa vita hii?
Ni Israel kwa kushirikiana na UK na US na kuungwa mkono na mataifa ya Ulaya kuzikalia ardhi za wapalestina na kubomoa majumba yao kwa zaidi ya miaka 75
 
Back
Top Bottom