Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Waislamu wa madhehebu ya Sunni ni wakati muafaka wa kukubali uislamu wa Shia, mafundisho ya Shia na Kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S. ili amani ya kudumu ipatikane palestina.

Kipenzi chetu cha dhati Imaam alikana nafsi kwa kuupigania, kuuteyea na kuulinda uislamu. Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah azidi kumfanyia wepes kumpa kheri za duniani na Akhera na aendelee kummiminia qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S.
20240810_154442.jpg
 
Egypt ,Saudia ,Quwait , Oman ,Jordan ,Turkey , UAE ,wanafiki wakubwa na washenzi mno .
Puppets wa mfumo wa mazayuni
 
Ila Kwa tukio la leo hata uwe katili kiasi gani lazima ukemee Tu nimeona picha za maiti za watoto wameungua.
Israel ni muda wa kuweka silaha pembeni kuliko hiki anachofanya, inasikitisha Sana

Juzi Iran wameomba Israel wasitishe vita lkn ndiyo Kwanza shule zinachomwa moto
 
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio mengi kama hayo tangu vita vianze,tukio la leo limeifanya Saudi Arabia ikasirike na kusema vita sasa ni lazima visimamishwe,
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema Israel imekuwa ikipuuza maazimio yote ya kimataifa na kwamba wapalestina wamekuwa wakiangamizwa vibaya.Akaongeza kwa kusema mauwaji ya halaiki kuanzia sasa ni lazima yakomeshwe.
Saudi Arabia is the latest country to speak out against the Israeli military attack on Gaza City’s al-Tabin school.
In a statement, the country’s Ministry of Foreign Affairs said it denounced the attack in the “strongest terms” and stressed that “mass massacres” in the enclave “need to stop”.
Gaza is “experiencing an unprecedented humanitarian catastrophe due to the ongoing violations of international law”, the ministry said.
source:Aljazeera.
Hao wanafiki wakubwa wangekuwa wanamsimamo Israel asinge subutu hata kugusa nchi moja ya warabu.
 
Hao wanafiki si kila siku wanawa support hao mabwana zao sasa wanalalamika nini! Wapigwe tu.
 
Ni kwamba tumekatishwa tamaa sana na ukimya wao muda uliopita,Lakini ikiwa imesema basi mabadiliko yatapatikana.
Saudia ina uwezo wa kutoa ukelele mmoja tu kwa ulimwengu wa kiislamu na ikasikika na wote.Ndio maana Marekani na Israel huwa wanainyemelea sana waweke watu wapuuzi wa kulinda kufru na unyama wao.
Wasaudi wangelikua kama waOman safi sana
 
Halafu kuna zezeta mmoja anaongea kuhusu ugaidi , kuna ugaidi zaidi ya huu ushenzi wa hawa mazayuni ?
Sio hivyo tu, anakuja mtu hapa na tamper zake anafurahia na kuhuzunishwa na wale watanzania wawili. Kuna watu wanaroho ngumu hii nchi!
 
Saudia wasaidie kupatikana kwa mateka, Vita itaishia hapohapo, mnang'ang'ania watoto wa watu halafu eti hamtaki vita, huo ni unafiki
 
Hamas wakiendelea ni sawa kabisa, wanatetea nchi yao, sio hayo makafiri Laana za Allah ziwe juu yao
Kwa hio Hamas ishambule Israel, lakini Israel ikae kimya, ndio maana YAHWE aliwaahidi " Atalaaniwa kila akayewalaani (Israel)'
 
Shida Hamasi hawajulikani huenda walijificha hapo shuleni kweli maana wao hawajulikani wanafanya shambulio Kisha wanakimbilia kwa watu na kusema wameua askari wa Israel ila mwaka uliopita na huu Gaza haitasahau hii itaishi sana kizazi na kizazi itaishi sana
Maelfu ya familia mpya zitaanza zikiwa hazina yeyote zaidi ya huyo mmoja aliyepo
Israhell imeshindwa kupambana na hamas inapambana na watoto wamama na majengo ndio uwezo wake mkubwa tulioaminishwa umeishia hapo
Wapalestina hawakuanza kufa mara hii na wala haitaisha mara hii wataendelea kufa sana
Ila watazaliwa tena na tena na wataendelea kupambania haki yao ya msingi ya taifa lao mpaka lipatikanwe
 
Haya ngoja tuendelee kuwa watazamaji
 
Sana na ndipo Israel anapochukulia point hadi mataifa makubwa yanashindwa kumtetea Hamas as wanajua kabisa shule misikiti hospital ndio military base zao
Ndio maana tangu vita inaanza huwezi ku spot military base ya hamas au askari wao kirahisi
Vita ikiwa Kali wanajichanganya na raia fasta
Myahudi nae anaona isiwe tabu chukueni wote hiyo kitu
Ndio uwezo wake ulipoishia hapo hata mukimtetea vipi
Hayo maeneo anayoyashambulia aliwaamuru waende kwakuwaambia maeneo salama kajuaje kama salama
Nakaachaje hamas wajipenyeze kwenda huko bila kuwaua
Hamas tuliambiwa wapo jumla ya 15k tu pekeee
Leo vifo vinasoma 39k kwahio hamas washakufa wote sasa anaua na raia si ndio
Juzi tumeona maroket yanarushwa tokea ghaza kaskazini ambapo israhell walitudanganya wamepasafisha na wanapashikilia ila makombora yametoka huko huko
Israhell alisafisha nini na makombora yanatoka wapi
Tokea mwanzo nilikua nanaendelea kusema ushindi pekee anaoupata idf ni kuuanwatu wasiokua na hata manati jambo ambalo hata mimi naliweza kama utanipa hata panga tu namaliza kazi
 
Back
Top Bottom