Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Polisi Tz wangeli simama kama polisi halafu CCM isimame kama CCM then Chadema pia isimame kama Chadema hapo tungelishuhudia siasa zakweli na ushidani ungelikua mkubwa mnoo nchi ingelikua na maendeleo pia kutokana na ukiwa madarakani ukiharibu ujue msimu wa uchaguzi haurudi tena kuwa kiongozi. Kama nchi tungelipiga hatua.
 
  • Mene = God has numbered your kingdom, and finished it (Daniel 5:26).
  • Tekel = You have been weighed in the balances, and found wanting (Daniel 5:27).
  • Upharsin = Your kingdom has been divided, and given to the Medes and Persians (Daniel 5:28).
 
HAPANA.
Ukifanya malipizi ya aina hiyo, hutakuwa tofauti na huyo aliyekufanyia ubaya wa namna hiyo.

Cha kufanya ni kumtia aibu na alipe gharama stahiki yake kwa kumpitisha kwenye mkondo wa sheria itakayotoa adhabu inayolingana na uovu aliofanya.
Kama kafaidika kwa kufanya uovu huo, afilisiwe kila alicho nacho kisheria.

Hatuwezi tena kuendelea kuwindana uchochoroni na kulipiziana uovu nje ya taratibu mahsusi.

Na ili unielewe vizuri: yeyote anayepatikana na hatia mbele ya sheria kwa uovu aliowafanyia waTanzania wenzake hukumu za malipo yake iwe nzito kulingana na uovu aliofanya.
 
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
Imenilazimu nirudi haraka kwenye mada hii, kwani akili iliendelea kuganda tu hapa baada ya kuondoka.

Nampa pole sana Sugu kama kaumizwa, na Mungu amponye hayo maumivu; kwani kazi iliyo mbele ndiyo kwanza imeanza hii.

Nimerudi kwa sababu bado nilikuwa na mashaka juu yake na haya maswala ya kuvurugwa na akina Abdul, na hawa wanaojipachika "Uchungaji".

Naamini maumivu haya ndilo tanuri la moto mkali litakalo imarisha azma ya kuyaondoa haya katika jamii ya waTanzania.

Sasa, kama kuna kazi kuanza, hiki ndiyo kipenga cha ishara ya kazi hiyo kufanyika bila kupumzika hadi ukombozi upatikane.
Kusiwepo na visababu au lelemama tena ndani ya CHADEMA. Mkanganyiko umekwisha!
 
Samia ni shetani kama alivyokuwa Magufuli, laana inamsubiri hapa hapa
 
Aliyechukua hela ya Abdul kaungana na Abdul ccm
 
Sugu hajaanza leo hekaheka na polisi. Ana ngoma yake "Mikononi mwa polisi".
He had also survived dictatorship, kabla Mungu hajafanya yake juzi kati hapo. 😁
 
We si umesema bionea huyu
 
Hao wanakuwa wajanja wakiwa kwenye uniform, after service huwa wanatia huruma
Hawa ni lazima waelezwe na watambue waziwazi tokea sasa na kwenda mbele, kila mmoja wao atahukumiwa kwa matendo aliyo fanya kama yeye, hata kama anafanya hivyo kwa kuamrishwa.
Hili ni lazima wote walijue waziwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…