Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Apewe nauli ya nini huyo? Si ni bilionea? Kwanza ilitakiwa wakati anatoka awachane askari maskini (kwa maelezo ya Erythrocyte) tumilioni tuwilituwili wakajinome! Ahahahahaha!!
 
Maagizo ya Tulia anayedai Mbeya ni jimbo lake la uchaguzi, tutashuhudia mengi zaidi kwani Tulia hupenda kutumia hela kuwarubuni vijana.
 
Wewe ni mjinga


Wewe ni stupid wa mwisho, unaona jambo tu mtandaoni, hujathibitisha, eti sbb fulani kaandika, hujathibitisha, unapost hovyo, pumbaf kabisa, eti kapigwa sana, unajua mtu aliyepigwa sana, Polisi sio wajinga hivyo kupiga piga watu hovyo, acha kabisa kuchukua taarifa zisizo sahihi na kusambaza hovyo hovyo, eti Polisi wamempiga sana, hivi umeona polisi ni watu wasio na akili kabisa? Yaani wapige pige watu na kuumiza tu, Polisi nao ni binadamu, na hawawezi piga piga sana watu, acheni kuchafua polisi plz plz, tena koma, ingekuwa Sugu mwenyewe kasema na kuonyesha kapigwa sanaa wapi, ingeonekana, ila wewe kazi yako kuchafua jeshi la polisi bila sababu yoyote
 
Eh!😞😞
 
Huyu Mzanzibari atawanyoosha mpaka mkae sawa..
 
Huna akili
 
Awadh ni kati ya wala rushwa wakubwa ndani ya polisi.
Aliwahi kuchukua laki 3 zangu baada ya kumgonga mlevi maeneo ya Dar akiwa RTO bila aibu.
Amesababisha mkewe kuwa mlevi ktk Bar ya Hai Boko mangengeni kwa sababu ya pesa zilizomfanya awe malaya.
Mkew anaishi Mbweni Ubungo.

Huyu aliwekwa pembeni na Siro kwa sababu za uhayawani wake sasa dini imeshika hatamu
 
Mbona wewe hawakukupiga? Kumbe wewe ni Kamanda wa kwenye mitandao tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…