Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ushahidi wa kupigwa na kuumizwa yeye uko wapi ?!!!

Msemaji ni wewe...
Muaminishaji ni wewe...
Mtendaji ni wewe....
Hakimu ni wewe....

Uzwazwa huu
 
Yote hayo ni ujinga wenu na mlitakiwa kuwaonyesha shoo yakufa mtu asikari wenu mngechoma kayazao ....mnajifanya wastaarabu ngoja wawape shooo
 
Magufuli alitumia sayansi ya siasa, hakutaka machafuko na dhoruba ndio maana akasimamisha shughuli za kisiasa zibaki za majimboni ili kuwanusuru wapinzani na hizi kadhia za polisi.
 
Naona tunatengeneza taifa la visasi tu.
Ni upuuzi huu uliofanywa na Awadhi... aliyeaminiwa na kupewa dhamana.
 
Ifike muda hawa polisi wanaopiga watu kinyume na sheria kushtakiwa binafsi kwa jina lake! Adabu itarudi atakapobeba msalaba wake na familia yake kama wanavyofanya Marekani! Huu mchezo hautaisha kwa maombi na toba kamwe!
 
Uchawa ndiyo shida
Nani alaumiwe kwa hili?. Ni Mbowe na sera zake mbovu za maridhiano.
Maridhiano na mbowe no longer an issue aliacha msitutoe kwenye reli wenye chuki na mbowe. Tuzungumzie current
 
Tusiwe kama Sauti Ya Watanzania kushinda Club na porojo tu,lawama ya mbowe,hakuna tija kwenye field.
 
Tulia Akson Mwansasu
 
Nafikiria baada ya vipigo Lissu na yale mavyuma mwilini si watakuwa wamemuua kabisa masikini.
Kwa nguvu za Yehova atakuwa Mzima. Najua kila akiyeinua Kofi, teke, bunduki kuwaelekezea watu wale 520 Roho wa Mungu anawasuta. Na kama ni wakristo najua wanajitahidi kutubu halafu Mungu kaziba masikio mpaka watubu hadharani.
 
MSIGWA + TULIA = MAUMIVU Kwa watu wasio na hatia
 
Yes, ili akukomboe wewe na bwana wako kwenye utumwa wa fikra.
Watavuna wanachopanda wao na vizazi vyao. Wanaowatumikia wanalipwa mamilioni wanaotesa watu zikizidi laki 4. Wanamtesa Mtanganyika mwenzao. Hivi ni polisi wa Tanganyika au wametoka sehemu nyingine?
 
Sijawahi kujua kuwa
Pascal Mayalla ni mtu wa ajabu kiasi hiki
Una like nini labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…