Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19

Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."
Nimeisoma ile barua ya Mkuu wa Majeshi nchini kukanusha ule uvumi lakini paragraph ya mwisho ameahidi Watamlinda mama kwa nguvu zote., Kwa kweli mama yuko huru nampenda sana alivyoweza kumtoa yule mtu pale nyumba ya watu wa ndioooo ndioooo ...
 
Back
Top Bottom