Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

Bwana wee tunafundisha kweli kweli Hawa wanaume wenzetu hawaelewi...

Embu mfundishe wewe mwanamke labda atakuelewa...
Na mambo ya kuwa na mpenzi mmoja ndio chagamoto zake hizi akiamua kuuponda ponda moyo wako yani unakua kama tikiti bovu....sijui nimshauri sijui niache tu
 
Kaka huyo mpenzi wako ni kabila gani, maana kuna aina ya makabila wanawake wanakuwa hawaheshimu mahusiano yao , wanakuwa hawajali lolote zaidi wanakuwa kimaslahi, au ni tabia yao tu kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja.
 
Mshkaji anashindwa kujiongeza. Kama mtu hapokei simu usimpigie tena. Kwan sh.ngapi bwana
Yan kwenye kupiga cm kaenda mbali sana.Mm hata message tu nikshaona natuma meseji halaf unzijib ile kidizain flan aisee hata uwe dume nakupotezea hata kuwe na mchongo wa maana ndio ushaukosa hivyo.
Kwa hawa viumbe kwakwel mm nisingefika huko alikofika jamaa
 
amepata mwenzio anayeweza kazi. sasa kama wewe unampwelepweta tu unategemea nini?
 
Kuna Baharia mwingine katia nanga kwenye meli yako,
 
Haya ndo yale "Kupigwa matukio paka unaondoka mwenyewe" aliyokuwa anafanya Diamond kwa zari.. Jiongeze baba kwani dodoma hamna wanawake
 
Miaka miwili hujapiga mimba? Umeyataka! Ukimpa mwanamke mimba yeye ndio anakutafuta!
Mimba ni kama unamuwekea password na alama moyoni mwake!
 
Tafuta hela mzee.. Malalamiko hayasaidii! Ukiwa na hela hizo simu wala hutopiga wewe
 
Ukiona mwanamke ana majibu ya kishujaa..... Anakujibu anavyotaka yeye haijalishi itakukera ama lah ujuwe huna chako kwake mwache tu aende
 
Nimenikuta naimba hyo song ya Khalid chokoraa KUACHWA
 
Mapenzi ya hivi mwisho Kuwa nayo ni when I was 20/21 yrs, uko chuo,when you don't know better
Ila since then nawakulaga tu bila stress, na dem nileyemuacha au aliniacha wote huwa wa narudi kugegedwa tu at the end of the day hata waliolewa,she is not even your wife, she is not even the mother of your child...una stress na kipi

We ushakuwa mwanaume wa mkoa , tupe namba ya huyo dada wanaume wa dar... "Tumpige matukio"
#marejesho nitakuletea
 
Na we mkuu miaka miwili na nusu hujamuoa binti wa watu...!
Hapo tayari ashapata mwingine. Me imewahi nitokea hiyo...unapiga simu haipokelewi....akipokea anajibu short?nilijikata mapema...baadae nikagundua ashazalishwa na hapo akawa anaongea na mimi kwa uchangamfu. Akidhani naweza rudisha jeshi...alikuja kujua ninaoa soon...akawa mdogo kama punje ya haradali
 
Pole.
Mbona siku hizi wanaume tunalalamika sana, ina maana tumekuwa dhaifu kuliko wanawake duh
Mimi pia nimegundua hili.
Kwamba hawa viumbe wametuzidi nguvu miaka hii.?
Hata zile mambo za wadada kupigana kisa man hazipo miaka hii.
Leo saa 4 usiku tufanye kikao mana hali ishakuwa mbaya.hahaha
 
Ungesema shida vizuri sana, sasa kusema watu wenye maumbile fulani dharau, hiyo ni unyanyasaji....
Uwe na adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…