Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

Kuwa na familia sio mchezo hasa ukipata mwanamke classic

Nakumbuka niliwah kutaka kukimbia tulipoenda kununua nguo za mwanangu wa kiume wa wiki moja,karibia initoke 300,000 ilibidi niwe mkali mbele ya wauza maduka ila laki 2 ilifika
 
Kuoa sio kugumu kiivyo,
Vijana acheni kutishana[emoji4]
 
Kwema wakuu,

Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni!

Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana nacho huko sio mchezo.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa;
1. Mchele. 1kg 3000
2. Sukari 1kg 2800
3. Sabuni mche 3500
4. Tambi 1pct. 2000
5. Mafuta ya kula 1ltr 5500
6. Unga wa sembe 1700
7. Unga wa dona 1600
8. Kubadilisha sas mtungi mdogo 25000
9. Kubadilisha gas mtungi mdogo 52000
10. Mahindi ya makande 1700
11. Maharage 1kg. 3000
12. Dagaa 1kg 10,000
13. Nyama 1kg 8500
14. Kuku wa kienyeji 20,000
15. Majani ya chai 500
16. Mafuta ya kupaka low quality 3000
17. Mafuta ya kupaka normal quality 25,000
18. Mafuta ya kupaka high quality 120,000
19. Dawa ya Mswaki low quality 3000, normal 15,000 high quality 70,000

20. Nauli Daladala 500-8500 per 1route
21. Maziwa fresh 1ltr 2300
22. Maziwa mgando 1Ltr 2700
23. Chapati 1pc 400

Kama hujajipanga kuishi na mwanamke unashauriwa upige kwanza hesabu zako vizuri sana, usije ukaumbuka.
Ujue kwa siku na mwezi unakula kiasi gani? Ujue wka mwezi unatumia mafuta na dawa ya mswaki kiasi gani?

Nisije kukaa mwaka mzima sijamlisha mtoto wa watu kuku bure!

Nduki!

Taikon wa Fasihi,
Muuza Genge.
Acha kabisaa taikon, ndo maana tukifikiria kuhonga michepuko siku hizi tunapata ukakasi
 
Kuoa sio kugumu kiivyo,
Vijana acheni kutishana[emoji4]

Kijana Hana kazi ya kueleweka alafu umuambie aoe alafu anaishi Dar, Arusha, Mwanza au mjini popote. Utakuwa haumpendi😀😂😂

Ndio maana kuna swali utaulizwa "unafanya kazi gani au unajishughulisha na nini?"
 
Mwanaume akimbii matatizo lkm utakiw kuyafata mattzo
 
Sikia, acha woga.
Wewe ukiwa mwenyewe unapika au unanunua chakula? Kama unanunua chakula una uwezo wa kuishi na mke.
Kama unapika vile vile una uwezo wa kuishi na mke.

Cha msingi chukua mwanamke anayoendana na hali yako ya maisha. Kula kuku sio lazima.
Mafuta ya kujipaka sio lazima yazidi elfu 10.
Hata hizo dagaa kilo ni nyingi sana sio lazima.
Vitu vingi hapo sio lazima.
Nunueni mahindi mkayasage mpate unga ni rahisi kuliko kununua kwa kilo.
Mchele kanunue sokoni ni cheap.
 
Kwema wakuu,

Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni!

Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana nacho huko sio mchezo.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa;
1. Mchele. 1kg 3000
2. Sukari 1kg 2800
3. Sabuni mche 3500
4. Tambi 1pct. 2000
5. Mafuta ya kula 1ltr 5500
6. Unga wa sembe 1700
7. Unga wa dona 1600
8. Kubadilisha sas mtungi mdogo 25000
9. Kubadilisha gas mtungi mdogo 52000
10. Mahindi ya makande 1700
11. Maharage 1kg. 3000
12. Dagaa 1kg 10,000
13. Nyama 1kg 8500
14. Kuku wa kienyeji 20,000
15. Majani ya chai 500
16. Mafuta ya kupaka low quality 3000
17. Mafuta ya kupaka normal quality 25,000
18. Mafuta ya kupaka high quality 120,000
19. Dawa ya Mswaki low quality 3000, normal 15,000 high quality 70,000

20. Nauli Daladala 500-8500 per 1route
21. Maziwa fresh 1ltr 2300
22. Maziwa mgando 1Ltr 2700
23. Chapati 1pc 400

Kama hujajipanga kuishi na mwanamke unashauriwa upige kwanza hesabu zako vizuri sana, usije ukaumbuka.
Ujue kwa siku na mwezi unakula kiasi gani? Ujue wka mwezi unatumia mafuta na dawa ya mswaki kiasi gani?

Nisije kukaa mwaka mzima sijamlisha mtoto wa watu kuku bure!

Nduki!

Taikon wa Fasihi,
Muuza Genge.
Tatizo tozo
 
Acheni kutishanaa tulizaliwa sita hakukuwa na mashamba makubwa Wal not Kaz ya mzeemshahara wake ninlaki 280 na leo tuko mbali tu kuoa tutaoa Sana hata unga ukiwa elf 5000 kwa kilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sikia, acha woga.
Wewe ukiwa mwenyewe unapika au unanunua chakula? Kama unanunua chakula una uwezo wa kuishi na mke.
Kama unapika vile vile una uwezo wa kuishi na mke.

Cha msingi chukua mwanamke anayoendana na hali yako ya maisha. Kula kuku sio lazima.
Mafuta ya kujipaka sio lazima yazidi elfu 10.
Hata hizo dagaa kilo ni nyingi sana sio lazima.
Vitu vingi hapo sio lazima.
Nunueni mahindi mkayasage mpate unga ni rahisi kuliko kununua kwa kilo.
Mchele kanunue sokoni ni cheap.
Anatutisha tusiwowe. Mbona hapa mtaani watu wanakula mchicha na kabichi tu.

Sema sasa hata maharage bei kama nyama.
 
Aiseee mbona mahesabu yako unapiga hivyo utafikiri unataka kufungua kituo cha watoto Cha kulelea watoto? Maharage 3000 Kwa kilo ni kwelii kwani huyo mwanamke wako anakula kama mchwa? Mkupika maharage robo yanawatosha mchana na usiku si mko wawili,mafuta la kula litr 5500 ni kwelii sijabisha nyie mnatumia lita Kwa siku??, Halafu yapo ya kupima Lita 4000, usitake makubwa, dawa ya meno ya elf 3 inatosha mnatumia hasta wiki mbili au tatu kwani mnakula dawa?? Mafuta ya kupaka unatumia ya hai kwality ndio anayotumia kwao?? Au unataka kujiongeza??... Acha kuogopa maisha ndio haya haya tena ukiishi naye vitu vinabajetika, unaweza tumia elf 3 peke yaku kula mchana lakini akiwepo utashangaa unatumia elf 5 mchana na jioni.
 
Kwa ufupi huyo dada alikuwa anataka kuja kuishi hapo kwako mwezi na kuendelea
 
Kwema wakuu,

Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni!

Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana nacho huko sio mchezo.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa;
1. Mchele. 1kg 3000
2. Sukari 1kg 2800
3. Sabuni mche 3500
4. Tambi 1pct. 2000
5. Mafuta ya kula 1ltr 5500
6. Unga wa sembe 1700
7. Unga wa dona 1600
8. Kubadilisha sas mtungi mdogo 25000
9. Kubadilisha gas mtungi mdogo 52000
10. Mahindi ya makande 1700
11. Maharage 1kg. 3000
12. Dagaa 1kg 10,000
13. Nyama 1kg 8500
14. Kuku wa kienyeji 20,000
15. Majani ya chai 500
16. Mafuta ya kupaka low quality 3000
17. Mafuta ya kupaka normal quality 25,000
18. Mafuta ya kupaka high quality 120,000
19. Dawa ya Mswaki low quality 3000, normal 15,000 high quality 70,000

20. Nauli Daladala 500-8500 per 1route
21. Maziwa fresh 1ltr 2300
22. Maziwa mgando 1Ltr 2700
23. Chapati 1pc 400

Kama hujajipanga kuishi na mwanamke unashauriwa upige kwanza hesabu zako vizuri sana, usije ukaumbuka.
Ujue kwa siku na mwezi unakula kiasi gani? Ujue wka mwezi unatumia mafuta na dawa ya mswaki kiasi gani?

Nisije kukaa mwaka mzima sijamlisha mtoto wa watu kuku bure!

Nduki!

Taikon wa Fasihi,
Muuza Genge.
Kwa sisi wanaume tuliokamilika,huyo mwanamke yuko reasonable...sio mapaka ya mjini huyo,huyo anajielewa sana...hayo ndio yanakufanya uwe mwanaume na bado mengine ya ugonjwa,misiba,harusi,vicoba,malipo ya taka,umeme,maji,uzazi,watoto yataongezeka. Manunuzi hayo mtakula kwa muda mrefu hapo ndani. Hakuna cha kutisha hapo labda kwenye hizo sijui 'low/high quality' ndio sijaelewa.
 
Sikia, acha woga.
Wewe ukiwa mwenyewe unapika au unanunua chakula? Kama unanunua chakula una uwezo wa kuishi na mke.
Kama unapika vile vile una uwezo wa kuishi na mke.

Cha msingi chukua mwanamke anayoendana na hali yako ya maisha. Kula kuku sio lazima.
Mafuta ya kujipaka sio lazima yazidi elfu 10.
Hata hizo dagaa kilo ni nyingi sana sio lazima.
Vitu vingi hapo sio lazima.
Nunueni mahindi mkayasage mpate unga ni rahisi kuliko kununua kwa kilo.
Mchele kanunue sokoni ni cheap.

Jamani Vijana mnazubaa zubaa nini mke huuyu huku
Mzabzab
NdegeJohn
Kujeni huku
 
Kwa sisi wanaume tuliokamilika,huyo mwanamke yuko reasonable...sio mapaka ya mjini huyo,huyo anajielewa sana...hayo ndio yanakufanya uwe mwanaume na bado mengine ya ugonjwa,misiba,harusi,vicoba,malipo ya taka,umeme,maji,uzazi,watoto yataongezeka. Manunuzi hayo mtakula kwa muda mrefu hapo ndani. Hakuna cha kutisha hapo labda kwenye hizo sijui 'low/high quality' ndio sijaelewa.

Mkuu shikamoo
 
Back
Top Bottom