Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

Mwanaume Kama mambo yako hayajakaa vizuri alafu unatafuta kuoa au kuishi na Mwanamke huko ni kutafuta matatizo.
Hii ya kuwaogopesha kuwa wasioe vile maisha taiti ni kuwafanya waendeleze umalaya na uvivu, mwisho wa siku idadi ya watoto wa mitaani inaongezeka
 
Kuwa na familia sio mchezo hasa ukipata mwanamke classic

Nakumbuka niliwah kutaka kukimbia tulipoenda kununua nguo za mwanangu wa kiume wa wiki moja,karibia initoke 300,000 ilibidi niwe mkali mbele ya wauza maduka ila laki 2 ilifika
H[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha ni kuchagua mwenzio kwa siku na kula buku 3 nguo mtoto mpaka x-mass na maisha yanasonga wife analialia nikamwambia mrudishe mali yangu nikaoe mwingine we mali m9 alafu uje home bado nienyeke
Rahisisha maisha ukiwa na mke mchapakazi Vodacom kazi ni kwako
 
Sikia, acha woga.
Wewe ukiwa mwenyewe unapika au unanunua chakula? Kama unanunua chakula una uwezo wa kuishi na mke.
Kama unapika vile vile una uwezo wa kuishi na mke.

Cha msingi chukua mwanamke anayoendana na hali yako ya maisha. Kula kuku sio lazima.
Mafuta ya kujipaka sio lazima yazidi elfu 10.
Hata hizo dagaa kilo ni nyingi sana sio lazima.
Vitu vingi hapo sio lazima.
Nunueni mahindi mkayasage mpate unga ni rahisi kuliko kununua kwa kilo.
Mchele kanunue sokoni ni cheap.
Vipi nilete posa ?
 
Hii ya kuwaogopesha kuwa wasioe vile maisha taiti ni kuwafanya waendeleze umalaya na uvivu, mwisho wa siku idadi ya watoto wa mitaani inaongezeka

Labda tuseme waoe wanawake wa viwango vyao au vya chini kabisa, hapo vipi
 
Dah, wanaume wanazidi kuisha nina miaka 32 na watoto 4 napambana maisha yanasonga.

We piga nyeto tu bado ni kivulana
 
Kwa ugumu huu wa maisha Mimi naendelea kughairi suala la ndoa🤔
 
Back
Top Bottom