Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Hii ya kuwaogopesha kuwa wasioe vile maisha taiti ni kuwafanya waendeleze umalaya na uvivu, mwisho wa siku idadi ya watoto wa mitaani inaongezekaMwanaume Kama mambo yako hayajakaa vizuri alafu unatafuta kuoa au kuishi na Mwanamke huko ni kutafuta matatizo.