Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
 
1596889990118.png
 
Siku akitokea mwana chadema akaweza kuchukua Madaraka chadema tu na kumngoa mwenyekit Basi huyo ndie atae weza chukua nchi
 
Leo hatukwenda wengi kwa kuheshimu taratibu za tume. Subiri kampeni zianze.
Mkuu mwenzio G sam saa hii kajificha kwa aibu maana toka juzi anasema dodoma imejaa na itabidi mjigawe ili kuepusha msongamano! [emoji3][emoji3][emoji3]

Jf si mitaani
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata sheria na haki.
Wote watasamehewa,Ila Jiwe na DAB lazima tuta deal nao Perpendicular
 
Back
Top Bottom