Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Mkuu, ni haki yako kujitia moyo, magufuli anachukua uraisi very very very soon, stay tuned mkuu
mkuu ni vizuri ukachangia hoja iliyo mezani , wakati haukusubiri usije ukajutia muda wako , kamati inapitia uzi huu ili kukusanya maoni na kuyafanyia kazi
 
Madaraka yapi unayaongelea Mkuu,? Madaraka ya kusema CORONA ipo huku ukiendelea kufanya mikusanyiko ya kusaka wazamini?????
Corona bado ipo sana hapa, wacha kutumiwa kama kipaza sauti
 
Kweli mkubwa Lissu atakuwa Rais wa Mioyo ya Nyumbu, JPM ataendelea kuwa Rais wa Tanzania.
Jiwe kesha enguliwa tayari, jiandaeni kisaikolojia kutawaliwa na upinzani chini ya mtume Lissu
 
Back
Top Bottom